Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu


Nenda kwanza kajifunze jinsi ya kutenganisha kati ya mtoa hoja kwa upande mmoja, halafu na hoja yenyewe kwa upande mwingine.
Unachofanya hapa ni kumnyookea na kupambana na mtoa mada, badala ya mada/hoja z/yenyewe.
Pia jifunze matumizi ya r/l. Jua wapi unatumia nini. Nakutakia mjadala mwema.
 
Jamaa yangu haya mambo huyawezi inabidi ujipange haswaa haswaa yaani

That's a first fault. Huwezi leta maandishi katika lugha ambayo mtu nje ya ulimwengu wa kiarabu atayaelewa.

Anyways, niandalie na tafsiri yake kwa lugha yangu ninayoielewa.
 
kufuga ndevu kama za beberu
 
Bora hao wengine wameachwa watumie lugha zao. Lkn hawa wa mudi ni kila kitu mpaka lugha majina nk. Yaani full utumwa kama assimilado ya mfaransa
Mbona hawajaruhusiwa kujitengeneza biblia yao ?
 
That's a first fault. Huwezi leta maandishi katika lugha ambayo mtu nje ya ulimwengu wa kiarabu atayaelewa.

Anyways, niandalie na tafsiri yake kwa lugha yangu ninayoielewa.
Google translate ya kiswahili ipo mkuu utapata maana yake ndio ujue kama hata hao waarabu walimpinga Muhammad s a w
 
kuna siku shehe mmoja hv ana asili ya kiarabu alikuwa kwenye kipindi cha televisheni cha hapa bongo

watu wakawa wanauliza maswali mbalimbali kuhusiana na imani yao

mmoja wa watazamaji alitaka kujua namna ya kusali sala fulani hivi

jamaa akamjibu namna ya kusali lakini akasisitiza ili Allah amsikie inambidi asali hiyo sala kwa kiarabu
🤣🤣🤣
 
Mtu kama FaizaFoxy ni mwenyeji wa pwani mkuranga huko lakini anajinasibisha na uarabu,mtu kama huyo ukimwambia dini ya kiislamu ni mila za waarabu anakubishia,kisa kwenye quruan kuna maandiko yamewaambia haya maneno yameshuka kutoka juu kwa mwenyezi Mungu
 
Uislamu Na Ukristo wote Hauko Sawa..

Kikubwa Ni kusimamia Maadili yetu, Kuzidisha Upendo na Amani hiyo ndo Iwe Dini yetu
 
Ww mbona haujibu hoja na maswali unayo ulizwa badala yake unakimbilia kumshambulia mleta hoja na kumwambia aende akasome sijui hana elimu?
Ili mjadala uwe na hoja zenye mantiki ni lazima muanzisha mjadala awe na elimu ya kutosha kuhusu kitu alicho kileta kijadiliwe ,sasa ww umeanzisha mjadala wa kitu usicho kuwa na elimu nacho na ndio maana ukibanwa na hoja unakimbilia kususa na kutafuta makosa ya kimaandishi kwa aliye leta hoja ili upate pakukimbilia.

Kiufupi hii mada hukuianzisha kwa ajili ya majadiliano na kutaka kuelimika kuhusu uislam bali ulikuwa umeianzisha kwa misingi ya kejeli ili watu waje humu na kuudhihaki uislam sema lengo lako limefeli maana hata wagaratia wenzio wamekupuuza.
 
Mtakuja na kila hoja ya kupinga na kuutetea uislam,lakin ukweli utabaki kuwa uislam ni mila za kiarabu,ni mtu mjinga pekee asietumia akili yake ndio ataamini uislamu si uarabu
 
uwe una swali kwa kutumia lugha ya mila yako basi kama quruan si kiarabu,na Mkiwa mnafunga zile ndoa zenu muache kufunga misuli na kuweka majambia huko viunoni na muache kupika mabirani na kuweka kaswida, sababu hivyo vyote ni tamaduni za waarabu
 
Yes, hilo lazima litokee maana katika Miongo michache ijayo kutakuwa na Waafrika Wakatoliki wengi kuliko Wazungu na Waasia; epicenter ya Kanisa inakuwa kwetu
Kwahiyo wewe hio unaona ni sifa ya kujivunia ukiwa kama muafrika halisi?
 
Hii hoja yako ipo pande zote mbili,uislam na ukristo
 
Kwahiyo wewe hio unaona ni sifa ya kujivunia ukiwa kama muafrika halisi?
Ndugu yangu, Wakoloni na Wamisionari walikuja kwenye hili bara na wakalikuta katika mifumo ya kijamii lipo nyuma kwa makarne na makarne; hawakukuta mifumo imara ya kuabudu bali kulikuwa na imani za kimakabila (mamia kama sio maelfu ya makabila ambayo hayajaungana)
Suala langu sio kwamba sijivunii uafrika wangu bali naangalia tu uhalisia wa hali ya sasa na uhalisia kwa kipindi hicho
 
iyo itakuwa

kumbe unachukia kiarabu kutumika.wewe ulitaka iwe lugha gani?sikuzote lugha moja unganisha jamii ya watu ndio maana mugu akatuambia sisi waislam kwamba ameitelemsha qurani kwa lugha ya kiarabu iliwenyepesi kwetu kutumika
Kwahiyo huyo Allah hakujua kuwa duniani kuna jamii nyingi ambazo si waarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…