Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

uwe una swali kwa kutumia lugha ya mila yako basi kama quruan si kiarabu,na Mkiwa mnafunga zile ndoa zenu muache kufunga misuli na kuweka majambia huko viunoni na muache kupika mabirani na kuweka kaswida, sababu hivyo vyote ni tamaduni za waarabu
Hakuna sehemu nimesema qur an sio kiarabu kuhusiana na kufunga majambia sijui nini wala hayahusiani na dini ya uislam ufunge jambia ueke biriani ama qaswida haitafanya ndoa kuishi ama kuto kusihi ndoa ina sharti na sharia zake ili kusihi hayo majambia mbwembwe tu
 
Mm nimezaliwa ndani ya uislamu na ukristo lakni baada kuujua ukweli kuhusu hizi dini mbili nimeziacha kwa sababu sio asili yangu
Hujazaliwa kwenye uislam na kama umezaliwa basi hukuwahi kuujua uislam sababu usingeuliza hapo juu kwamba eti Allah hakujua kama kuna jamii nyengine wewe mpagani tokea awali
 
Hoja ipi ambayo hujajibiwa unajibiwa hoja unaleta vioja unataka watu wakujibuje sasa kama sio kuku acha tuuu
 
99 ya ibada ipi inayo fanyika kwa kiarabu ibada pekee ambayo 99 ama yote inafanyika kwa kiarabu ni sala nyengine unapiga hata kikwenu
 
Ww ndo unatumia hisia na ndio maana hutaki kuelimishwa na wenye elimu juu ya ulicho kileta.
Ww lengo lako lilikuwa ni dhihaka na kuleta kejeli ili utimize matamanio ya moyo wako.

Huwezi ukawa na akili alafu ukawaponda waisilam eti ni watumwa wa tamaduni wa kiarabu. Alafu wakati huo ww ni mtumwa wa dini zilizo anzishwa na akina Paulo na Martin Luther King badala ya kuabudu dini walizo kuwa wana abudu akina mkwana na mwana marunde.

Hamtaki waisilam wavae hijabu wakati huo wake zenu wanatembea na kilo 10 za mawigi kichwani.
 
Hawajui ya kuwa wanatumika na uislam kuendeleza tamaduni, mila na desturi za kiarabu. Mudi kawakataza kutumia lugha na majina yao ya asili isipokuwa kiarabu, halafu bado wanasema kuna utofauti.
Kwenye ukiristo mtoto anapo batizwa jina la kiroho kanisani majina ya asili yanaruhusiwa?
Ww jamaa wenda hauko sawa.
 
Kama lugha ndio inasababisha uislam kua uarabu kwa maanaa hii wanao ongea kiarabu wote waislam au

Uislamu umefungwa ndani ya uarabu. Yaani sub set ya tamaduni za kiarabu. Hivyo kila muislam ni mfuasi wa desturi za kiarab, lakini si kila muarabu ni muislam. Uislam ni chombo kinachomilikiwa na kuenezwa na waarabu. Maana ukiutenga Uislamu kutoka uarabu, basi Uislamu unakoma kuwepo.
The existentialism of Islam ☪️ is fully depending on Arabic.
 
Leta ushahidi hakuna ushahidi kama uislam umeletwa na s a w kama upo ulete

Dini bila kitabu haiwezi kuwepo. Mbona tumekueleza hili? Uislamu ulianza kuonekana baada ya quran kushushwa kwa nabii Muhammad. Kabla ya hapo hakukuwa na Uislamu.
 

Mii sijazoea mipasho. Huwa nahoa black and white.

Wewe kwa uelewa wako ukitenga uislam bila uarabu, unadhani utakuwa na dini hapo?
 
Ukatoliki ,usabato, urokole ni desturi za muafirika?

Sasa umeanza kurudiwa na fahamu. Ni hiviii, kama ilivyo kwa uislam, nazo ni desturi za watu. Sema hawajafungwa kabisa kama waislam kwamba mpaka lugha na majina watumie ya waarabu.
 
Kwenye ukiristo mtoto anapo batizwa jina la kiroho kanisani majina ya asili yanaruhusiwa?
Ww jamaa wenda hauko sawa.

Nenda usukumani nenda uchagani nenda kwa wanyakyusa, bado utakutana na akina manka, magesa na mpoki wakristo. Lkn hilo halipo kwa wafuasi wa mudi
 

Kama mnakubali kwamba quran ni kiarabu, iweje mkatae mpaka mnameza mkaa wa moto kwamba uislam ni uarabu?
Look at the simple arithmetic
Quran = Uarabu
Quran = Usilam
Then;
Uislamu = Uarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…