Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hakuna sehemu nimesema qur an sio kiarabu kuhusiana na kufunga majambia sijui nini wala hayahusiani na dini ya uislam ufunge jambia ueke biriani ama qaswida haitafanya ndoa kuishi ama kuto kusihi ndoa ina sharti na sharia zake ili kusihi hayo majambia mbwembwe tuuwe una swali kwa kutumia lugha ya mila yako basi kama quruan si kiarabu,na Mkiwa mnafunga zile ndoa zenu muache kufunga misuli na kuweka majambia huko viunoni na muache kupika mabirani na kuweka kaswida, sababu hivyo vyote ni tamaduni za waarabu