ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Ni mapacha watatu.Wanatisha eenh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mapacha watatu.Wanatisha eenh?
Hata Pepo Yao ni lugha ya kiarabuWengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.
Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba uislam ni mpango wa waarabu ku assimilate watu wengine wafuate mila za kiarabu.
1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.
2. Muanzilishi wa dini yao alikuwa muarabu
3. Kitabu chao kimeandikwa kwa lugha ya kiarabu
4. Majina ya waumini wao ni ya kiarabu
5. MAvazi ya waumini wao ni ya tamaduni za kiarabu
6. Majengo yao ya ibada yana mtindo au architectural design ya uarabuni
7. Ala za muziki zinazotumika katika nyimbo za ibada zao ni za asili ya kiarabu
8. Vyakula au mapishi (cuisine) ni ya kiarabu
9. Namna ya kucheza muziki wa sherehe zao ni za kiarabu.
10. Mirathi, ndoa na maziko ni desturi za kiarabu
Kuna mambo mengi ambayo ukiyachunguza yanaenda zaidi ya imani. Yana taka yawe katika ujumla wote wa maisha ya Mtanzania.
Changamoto ni kwamba, kwenye secular state ni ngumu sana kutekeleza desturi hizo, kwa maana serikali yetu haifungamani na dini yoyote.
Karibuni wadau katika kujadili hili mkiwa na akili huru.
CC: Bwana Utam kahtaan FaizaFoxy Kosugi
Yes, hilo lazima litokee maana katika Miongo michache ijayo kutakuwa na Waafrika Wakatoliki wengi kuliko Wazungu na Waasia; epicenter ya Kanisa inakuwa kwetuPapa MUAFRIKA? 🤣🤣🤣🤣
Kwani Mufti wa Tanzania sio Mwafrika mkuu?Tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu ni hii hapa; huwezi kuutenganisha uislamu na uarabu wakati unaweza kuutenganisha Ukristo na Wazungu; tutapata Papa Mwafrika kabla hatujapata Mufti Mzungu
Haijalishi ukristo umeanza na nani bali nani aliuchukua na akaamua kuuleta kwetu huku Sub-saharaUkristo kwa logic yako potofu uliianza na Wazungu sio?
Au Una maana ukristo ilianzishwa Nicea (Turkey ya sasa) na Mfalme Constantine mtawala wa Mzungu wa Kirumi ndio maana Xmass imewekwa siku ya kusheherekea uzao wa mungu wa kale wa Kirumi.
Tukuitaje mtu unayezungumzia dini ambayo una Zero knowledge ya philosophy yake zaidi ya kukuita ,(ashakum) mpumbavu?
Sorry nimechanganya; kiongozi wa waislamu kidunia anaitwa nani?Kwani Mufti wa Tanzania sio Mwafrika mkuu?
Iko sahihi sana, na hapa ndio watu Huwa wanashindwa kuelewa tofauti ya Uislam na Ukristo.Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.
Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba uislam ni mpango wa waarabu ku assimilate watu wengine wafuate mila za kiarabu.
1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.
2. Muanzilishi wa dini yao alikuwa muarabu
3. Kitabu chao kimeandikwa kwa lugha ya kiarabu
4. Majina ya waumini wao ni ya kiarabu
5. MAvazi ya waumini wao ni ya tamaduni za kiarabu
6. Majengo yao ya ibada yana mtindo au architectural design ya uarabuni
7. Ala za muziki zinazotumika katika nyimbo za ibada zao ni za asili ya kiarabu
8. Vyakula au mapishi (cuisine) ni ya kiarabu
9. Namna ya kucheza muziki wa sherehe zao ni za kiarabu.
10. Mirathi, ndoa na maziko ni desturi za kiarabu
Kuna mambo mengi ambayo ukiyachunguza yanaenda zaidi ya imani. Yana taka yawe katika ujumla wote wa maisha ya Mtanzania.
Changamoto ni kwamba, kwenye secular state ni ngumu sana kutekeleza desturi hizo, kwa maana serikali yetu haifungamani na dini yoyote.
Karibuni wadau katika kujadili hili mkiwa na akili huru.
CC: Bwana Utam kahtaan FaizaFoxy Kosugi
Huyo alouleta huku sub Saharan Africa ana ufahamu mkubwa wa dini hiyo kuliko Waebrania na Waaramic waliokuwa na Yesu alipokuwa duniani?Haijalishi ukristo umeanza na nani bali nani aliuchukua na akaamua kuuleta kwetu huku Sub-sahara
Usimtukane mjibu tu kama ulivyomjibu kwenye maelezo yako ya juuUkristo kwa logic yako potofu uliianza na Wazungu sio?
Au Una maana ukristo ilianzishwa Nicea (Turkey ya sasa) na Mfalme Constantine mtawala wa Mzungu wa Kirumi ndio maana Xmass imewekwa siku ya kusheherekea uzao wa mungu wa kale wa Kirumi.
Tukuitaje mtu unayezungumzia dini ambayo una Zero knowledge ya philosophy yake zaidi ya kukuita ,(ashakum) mpumbavu?
Ndugu yangu, tumeletewa sisi "King James version/edition" ya Biblia na sio ile ya Waebrania au hao WaaramicHuyo alouleta huku sub Saharan Africa ana ufahamu mkubwa wa dini hiyo kuliko Waebrania na Waaramic waliokuwa na Yesu alipokuwa duniani?
Ahaa, kama hufahamuNaomba ushahidi kuwa Yesu ni Myahudi.
Ethnicity upande upi, wa kuume au wa kike?Ahaa, kama hufahamu
Jew inatumika kwa both 1. Ethnicity na 2. Religion.
So jesus was a jew(ethnicity) as defendants of Israel.
Wewe siyo mstaarabu?Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.
Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba uislam ni mpango wa waarabu ku assimilate watu wengine wafuate mila za kiarabu.
1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.
2. Muanzilishi wa dini yao alikuwa muarabu
3. Kitabu chao kimeandikwa kwa lugha ya kiarabu
4. Majina ya waumini wao ni ya kiarabu
5. MAvazi ya waumini wao ni ya tamaduni za kiarabu
6. Majengo yao ya ibada yana mtindo au architectural design ya uarabuni
7. Ala za muziki zinazotumika katika nyimbo za ibada zao ni za asili ya kiarabu
8. Vyakula au mapishi (cuisine) ni ya kiarabu
9. Namna ya kucheza muziki wa sherehe zao ni za kiarabu.
10. Mirathi, ndoa na maziko ni desturi za kiarabu
Kuna mambo mengi ambayo ukiyachunguza yanaenda zaidi ya imani. Yana taka yawe katika ujumla wote wa maisha ya Mtanzania.
Changamoto ni kwamba, kwenye secular state ni ngumu sana kutekeleza desturi hizo, kwa maana serikali yetu haifungamani na dini yoyote.
Karibuni wadau katika kujadili hili mkiwa na akili huru.
CC: Bwana Utam kahtaan FaizaFoxy Kosugi
Mbona Yesu ni myahudi lakini hakuna myahudi hata mmoja anemkubaki na kuendana nae?
Ni mjinga tu anaeshindwa kujua uarabu na uislam ni vitu viwili tofauti.
Mtume amesema sehemu ya uarabu ni kua
1. Quran imeshuka kwa kiarabu
2. Mtume ni muarabu, tofauti na hapo hakuna.
Ndio maama zama kabla ya usilam pale uarabuni zinaitwa zama za ujahilia yaani ujinga, maana waarabu walikua na tabia chafu sana ingawa mpaka sasa wapo pia.
Uislam ni dini ilikuwapo tangu enzi za adam (a.s), haikuanzishwa na arabs.
Ktk uislam hakuna mizik wala nyimbo za ibada.
Mavaz tunayovaa ni kwa sababu mtume katuamrisha tuyavae, na sio kwa sababu ya auarabu wake.
Hiyo quran hata waarabu wanafundishwa kuisoma, lugha yake inahitaji utaalamu iliuisome vizuri.
Kiufupi waislamu hatuwafuati waarabu na tamadun zao kwa sababu hata hao arabs wanatamadun za kijinga sana.
Uislam unafuata maamrisho ya Allah na mtume..!
Msingi si umeshauanza wewe, usiogope.Sijaelewa msingi wa swali lako.