Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Wewe jamaa nimegundua kama huna hoja ama hujui unacho kisema huko juu unakubali kisa Jesu kapingwa na wayahudi ndio uyahudi unakua sio dini ila huku kwa s a w hujui ama hutaki kujua ama kuelewa kwamba hata s a w alipingwa na kupigwa vita na wenye dini zao ambao hawakuwa waislam wakiwemo maquraysh na waarabu wengine hili hulijui ume wasifia Mabudha nk unadhani kama wewe utataka kufata dini ya kibudha ukasoma kibudha mienendo yake utakua umefata Mabudha au imekuaje jamaa huna hoja hata s a w alipingwa na waarabu wakati anahubiria uislam mpaka wakawa wanamkashifu kwakumwita yatima na majina mengine ya hovyo hovyo

Bro nenda kajipange halafu uje tena. Ila utakapokuja uje na aya inayoonesha waarabu walivyompinga Muhammad. Tuache hisia na personalities pembeni.
 
Kwasababu tumekwisha chelewa!
Tukubali tukatae dunia inaenda kuwa na lingua franca moja au mbili ; badala ya kupoteza muda kukaririsha watu misamiati mipya ambayo ni technical kwanini tusifanye kama wahindi ambao wanatumia kihindi panapohitajika na kiingereza kwenye masuala technical

Nimekuelewa bro.
 
Kwa hiyo linguistic environment ya watu wote duniani iko sawa?

Moja ya sababu inayofanya elimu iwe dhaifu Tanzania 🇹🇿 ni lugha ya kufundishia. Ni kwamba mtoto anafundishwa kwa lugha ambayo siyo mama. Hivyo haelewi kikamilifu. Maana akiwa darasani anafundishwa kiingereza, akitoka nje anaongea katika lugha ya mama. Hivyo linguistic environment is not supporting the learning process.
Hilo likoje katika uislam nje ya ulimwengu wa kiarabu? Wote wanaelewa sawa?
Lugha iliyotumika katika Qur-an ni Kiarabu sanifu kama tu navyoj ifu nza katika Qur-an yenyewe:

"Na namna hii tumekufunulia Qur-an kwa Kiarabu ili uwaonye watu wa Makka na walio pembezoni mwake. Na uwaonye siku ya mkutano, siku isiyo na shaka. Kundi moja litakuwa Peponi na kundi jingine Motoni " (42:7)

Kwa nini Qur-an Imeshushwa kwa Lugha ya Kiarabu?
Walimwengu walio wengi wakiwemo baadhi ya Waislamu wanaitakidi kuwa lugha ya Kiislamu ni Kiarabu na Uislamu ni dini ya Waarabu. Bila shaka mawazo haya yamejitokeza kutokana na kutoujua Uislamu kwa upeo wake. Uislamu ni Dini ya Walimwengu wote wa nyakati zote na ni Dini iliyofundishwa na Mitume wote. Je, Mitume wote walikuwa Waarabu au watu wote waliolinganiwa na Mitume hao na kuwafuata walikuwa Waarabu? Bila shaka jibu litakuwa "hapana". Bali tunajifunza katika Qur-an yenyewe kuwa Allah (s.w) amewajaalia walimwengu kuzungumza lugha mbali mbali na ni katika ishara ya Uungu wake na utukufu wake.

"Na katika Ishara zake (zinazoonyesha uwezo wake) ni kuumba mbingu na ardhi, na kuhitilafiana lugha zetu na rangi zenu. Kwa yakini katika haya zimo ishara kwa wenye ujuzi." (3 0:22)

Kwa nini Qur-an imeshushwa kwa lugha ya Kiarabu? Jibu lake linapatikana ndani ya Qur-an yenyewe:

"Na hatukumpeleka Mtume yeyote isipokuwa kwa lugha ya watu wake ili apate kuwabainishia. Kisha, Mwenyezi Mungu anamuacha kupotea amtakaye (kwa kuwa hataki kufuata ujumbe uliomfikia wazi wazi) na humuongoza amtakaye. Naye ni Mwenye nguvu na Mwenye Hekima." (14:4)

Aya hii inatufahamisha kuwa kila Mtume alishushiwa Wahyi kwa lugha ya watu wake ili yeye mwenyewe apate kuwabainishia vizuri na wao wapate kumuelewa vizuri. Kwa kuwa Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa Mwarabu wa kabila la Kiquraishi na kwa kuwa Maquraish na Waarabu kwa ujumla ndio watu wake wa mwanzo kuwalingania Uislamu ili wamsaidie kuufikisha ulimwengu mzima. Qur-an ilibidi ishushwe kwa lugha ya Kiarabu cha Kiquraish kilichokuwa fasaha kuliko vilugha vyote vya Kiarabu. Watu wake wasingemuelewa kabisa kama Mtume (s.a.w) angewalignania kwa lugha isiyokuwa ya Kiarabu:

"Na lau kama tungaliifanya Qur-an lugha isiyo ya Kiarabu wangelisema: Kwa nini aya zake hazikupambanuliwa? Lo! Lugha isiyokuwa ya Kiarabu na (Mtume) Mwarabu! (Mambo gani hayo)? " (41:44).

"Na lau tungaliiteremsha juu ya mmoja wa wasiokuwa Waarabu, na akawasomea (kwa ufasaha) wasingalikuwa wenye kuamini." (26:198-199)

Kutokana na aya hizi tunajifunza kuwa:
(i)Ni desturi ya Allah (s.w) kumtuma mjumbe wake kwa lugha ya watu wake anaowafikishia.
(ii)Qur-an imeteremshwa kwa lugha ya Kiarabu kwa kuwa Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa Mwarabu na wale aliowalingania mara ya kwanza walikuwa ni Waarabu.
(iii)Waarabu wa mwanzo kulinganiwa Uislamu na Mtume (s.a.w) wasingeliukubali ujumbe kama Mtume asingelikuwa Mwarabu na kama angelingania kwa lugha nyingine isiyokuwa ya Kiarabu.
(iv)Kama Mtume (s.a.w) angelingania kwa lugha nyingine isiyokuwa Kiarabu, ujumbe wake usingelifahamika na watu wake wasingelazimika kuufuata kwa kuwa hawauelewi.
 
Papa kutufuta kwenye dhehebu? Narudia tena nilichoandika awali; Ukatoliki unatokomea bara la Amerika na unatokomea ulaya; the last stronghold ya Ukatoliki ni Afrika na bara la Asia A.K.A bila sisi hawana chao ndani ya miongo miwili mitatu
Na ndio maana nimeandika kwa confidence yote kwamba tutapata Papa Mwafrika kabla ndugu zetu Waislamu hawajapata kiongozi wa Kiroho ambaye sio mwarabu; in fact Nina confidence kubwa kwamba kanisa Katoliki halijahalalisha ushoga kwasababu linaelewa kufanya hivyo ni guarantee ya mpasuko na kanisa Katoliki la Africa

Unaelewa nini kuhusu mfumo wa uongozi katika dini ya kiislam?
 
Kwa hoja hizi ni dhahiri hata qur an ingeshuka kwa kiswahili mungekuja bado na hoja qur an hakikua kitabu cha kwanza cha waislam hivyo kuufungamisha uislam na uarabu uwe muislam ama muarabu inaonesha kwa namna gani huijui uislam na huujui uarabu kama uislam ni uarabu kwanini wakina abuu lahabi ambao ni waarabu walimpinga s a w baada ya kuwaletea uislamu
 
Ukim fuatulia Faiza foxy na aina ya watu kama yeye mara nyingi ukiwaambia jambo au wakikwambia ukiwajibu Huwa wanamajibu ya kizushi zushi ya kiswahili kiswahili sana ili mradi akutoe katika hoja zako kuwa nawo makini
 
Njoo na uthibitisho mmojawapo wa hoja uluzotoa. Naomba ukafanye homework yako. Nimeandika haya baada ya kufanya research ya muda mrefu. Hivyo ni vyema na wewe uka cite authority kwa kila hoja. Vinginevyo nitaita mazungumzo ya kwenye kijiwe cha kahawa.
Hoja yangu ipo kwenye qur an au unataka nifanye je kijana huwezi kuufungamanisha uarabu na uislam
 
Endelea kujisomesha ili upate maarifa ya kujenga hoja kwenye mijadala mizito kama hii.
Usitake kukimbia mada umeianzisha mwenyewe jibu hoja.
Ww huo ukrisito unao uabudu ulianzishwa karne kadhaa mbele baada ya Yesu kufa hivyo hautambui na wala haujui.
Ndani ya ukrisito kuna rundo la madhehebu na yote yameanzishwa na wahuni kutuko ulaya na mpaka sasa mnawatukuza.

Lakini cha kushangaza ww unajiona una haki ya kuwa mfuasi wa falisafa na taratibu zilizo buniwa na Martin Luther King na akina Paulo ,ila waisilam wao hawana haki ya kuwa wafuasi wa talatibu zilizo anzisha Muhammad.
Hivi kwann huwa mnapenda kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu?
 
Papa kutufuta kwenye dhehebu? Narudia tena nilichoandika awali; Ukatoliki unatokomea bara la Amerika na unatokomea ulaya; the last stronghold ya Ukatoliki ni Afrika na bara la Asia A.K.A bila sisi hawana chao ndani ya miongo miwili mitatu
Na ndio maana nimeandika kwa confidence yote kwamba tutapata Papa Mwafrika kabla ndugu zetu Waislamu hawajapata kiongozi wa Kiroho ambaye sio mwarabu; in fact Nina confidence kubwa kwamba kanisa Katoliki halijahalalisha ushoga kwasababu linaelewa kufanya hivyo ni guarantee ya mpasuko na kanisa Katoliki la Africa
Waisilam hawana kiongozi wa kiroho hapa duniani.
 
Waroma nao walichomekea magumqshi mengi sana. Mfano easter na Christmas 🎄, kwenye biblia hakuna. Lkn wenyewe wanasherehekea kwa nguvu balaa.

Hata uislam, Muhammad akajaza madesturi ya kwao uarabuni. Mpaka lugha akaifunga iwe kiarabu. Pengine yeye kwa uelewa wake alidhani uislam utabaki katika dunia ya kiislam. Sasa uislam umepotea njia nje ya dunia ya kiislam. Tutegemee matatizo mengi zaidi
Muhammad aliukuta uislam
 
Naheshimu maoni yako. Lakini kuwa na fikira tunduizi siyo dhambi. Na labda ukadhani wewe usiyehoji mambo na kutafakari mambo ni mtakatifu. Haiwezi kuwa hivyo.
Pia jua ya kuwa, magharibi hakuna dini iliyoanzia huko. Dini hizi mbili za ukristo na uislam chanzo ni mashariki ya kati au Asia 🌏 ndogo.

Mwisho muache kusalimiana asalam aleykum, pia muache kutaja yale maneno ya swala tano kwa kiarabu (bali yatamkeni kwa lugha yenu ya eneo husika duniani kote) ili tujue uarabu si kitu katika uislam.
Kila sehemu na kanuni na taratibu zake uislam umeeka taratibu na mila zake kwa umma huu uwe hivyo na utabakia kua hivyo
 
Sasa wewe hufikiri kwa nini iwe kiarabu na isiwe kihindi au kichina
Hata ingekua kifaransa mungekuja na hoja Sawa maana kwa nini iwe kichina na sio kiarabu au kiarabu umekiona na mapungufu yap yasokuepo kwa hizo uzitakazo
 
Mbona Yesu ni myahudi lakini hakuna myahudi hata mmoja anemkubaki na kuendana nae?

Ni mjinga tu anaeshindwa kujua uarabu na uislam ni vitu viwili tofauti.

Mtume amesema sehemu ya uarabu ni kua
1. Quran imeshuka kwa kiarabu
2. Mtume ni muarabu, tofauti na hapo hakuna.

Ndio maama zama kabla ya usilam pale uarabuni zinaitwa zama za ujahilia yaani ujinga, maana waarabu walikua na tabia chafu sana ingawa mpaka sasa wapo pia.
Wewe acha uongo wako hapa Uislama ni Utamaduni wa Waarabu kama ilivyo ukristo ni Utamaduni wa Wazungu hasa wa Ulaya.
 
Kwa hiyo linguistic environment ya watu wote duniani iko sawa?

Moja ya sababu inayofanya elimu iwe dhaifu Tanzania 🇹🇿 ni lugha ya kufundishia. Ni kwamba mtoto anafundishwa kwa lugha ambayo siyo mama. Hivyo haelewi kikamilifu. Maana akiwa darasani anafundishwa kiingereza, akitoka nje anaongea katika lugha ya mama. Hivyo linguistic environment is not supporting the learning process.
Hilo likoje katika uislam nje ya ulimwengu wa kiarabu? Wote wanaelewa sawa?
Usichokijua ni kwamba hata huyo muarabu lazma akitaka kuujua uislam ausome uislam kama uislam sababu kuu uarabu wake haujafungamana na uislam ukitoa lugha
 
Back
Top Bottom