Huwezi kuwa ONLINE muda huu kama huteswi na MAPENZI 😄 🤣 😂 Usiku mwema ndugu zanguni wa ndoa za masafa marefu

Huwezi kuwa ONLINE muda huu kama huteswi na MAPENZI 😄 🤣 😂 Usiku mwema ndugu zanguni wa ndoa za masafa marefu

Huwezi kuwa ONLINE muda huu kama huteswi na MAPENZI 😄 🤣 😂

Usiku mwema ndugu zanguni wa ndoa za masafa marefu.
mapenzi yanakutesaje na wewe ndugu mdau wa JF karne hii ya sayansi na teknilojia?

mie nadhani ikiwa una nguvu vizuri,
ni vizuri kujitesa kufikiria jinsi kupata pesa mingi, jinsi ya kulipa madeni na pengine kua na maisha mazuri zaidi kuliko ulionayo hivi sasa na itapendeza zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom