Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

Huwezi kuwa tajiri overnight acha kabisa hizo ndoto everything is a process and it takes time you have to fight your way through riches nothing comes easily
mkuu nini kimekukuta! wakati unanijibu uwe unasikiliza hako kanyimbo nilikoweka hapo juu kakupoze...😅
 
Saa nyingine huwa ni bahati tu! Unaweza lala masikini ukaamka tajiri Ila sasa kufikia level hiyo huwa kuna kimchakato cha kukuinua level hiyo lazima upitie.

Ni asilimia chache sana 2% to 5% ya watu wana bahati na utajiri.
 
Huwezi kuwa tajiri overnight acha kabisa hizo ndoto everything is a process and it takes time you have to fight your way through riches nothing comes easily
Kuna utajiri wa majini.. Unalala maskini unaamka tajiri
Kuna utajiri wa ngekewa
Kuna utajiri wa bahati nasibu
.. Aina zote hizi za utajiri hutoi jasho
 
Nilizaliwa kwenye familia tajiri, kama mtoto pekee sasa nimerithi mali za wazazi
so nini kinakutatiza hapo..? unashindwa ku handle utajiri wakurithishwa ama..?
bado hujafunguka vyema kuhusu uzi wako ndio maana nakuhoji..
 
so nini kinakutatiza hapo..? unashindwa ku handle utajiri wakurithishwa ama..?
bado hujafunguka vyema kuhusu uzi wako ndio maana nakuhoji..
Uzi gani tena nifunguke mwanawane?
 
mkuu nini kimekukuta! wakati unanijibu uwe unasikiliza hako kanyimbo nilikoweka hapo juu kakupoze...😅
Well back in the day wakati naanza kujitosa katika ulimwengu wa Trading as second source of income kila panapokucha unaona utajiri sindo huu hapa kumbe reality ni kwamba hicho kitu ni kama duka tu, huwezi ukafungua duka leo kesho ukawa tajiri ghafla na huwezi ukapata faida zaidi hata ya nusu or robo ya mtaji so nilikuwa nawapa watu hii experience kwamba once kitu kimeitwa biashara its always a biashara na inatakiwa ifuate misingi ya biashara kuwa successful
 
Back
Top Bottom