Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

Huwezi kuwa tajiri overnight, acha kabisa hizo ndoto

Kuna utajiri wa majini.. Unalala maskini unaamka tajiri
Kuna utajiri wa ngekewa
Kuna utajiri wa bahati nasibu
.. Aina zote hizi za utajiri hutoi jasho
huo utajiri wa majini ndio nasikia ni hatari, kosa kidogo unarudi kuwa kapuku
 
Kuna utajiri wa majini.. Unalala maskini unaamka tajiri
Kuna utajiri wa ngekewa
Kuna utajiri wa bahati nasibu
.. Aina zote hizi za utajiri hutoi jasho
Ukitaka kitu cha fasta hivo kuna price utatakiwa ulipe na pia huo utajiri unaweza usidumu kwasababu hustling inakupa funzo la kuwa na nidhamu ya pesa
 
Hivi unajua maana ya huwezi ?

Kwa mfano mmoja tu yule anayeshinda bahati nasibu au wale wanaocheza bahati nasibu ya kujaribu kupata madini ?
 
Huwezi kuwa tajiri overnight acha kabisa hizo ndoto everything is a process and it takes time you have to fight your way through riches nothing comes easily
Vijana wa siku hizi bwana ,yaani akiwaza kitu ambacho sisi wenzie tunakijua muda tu ila tupo kimya ,yeye pukutu pukutu kuja kutuandikia hapa jamvini
 
"Mafanikio ya maisha yako ni makutano ya vitu vikuu vitatu; Muda, Jitihada na Kudra. Muda ni wa wote. Jitihada ni za kwako. Lakini Kudra ni majaaliwa" c&p
 
USIJAR kk tupo pamoja nikiwa mbagala nakupata vyema kabisa

Dj play ile nyimbo ya never give ya hamonaizi😔
 
Back
Top Bottom