Huwezi kuwa unaangalia Azam, TBC, Star Tv and the like ukawa CLASS CONSCIOUS

Huwezi kuwa unaangalia Azam, TBC, Star Tv and the like ukawa CLASS CONSCIOUS

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ndilo tatizo la watanzania and in particular Watanganyika. Ni mazwazwa kwa sababu hakuna anayeangalia Tv stations za nje kama Al Jazeera, CNN, BBC, Kenyan TVs. Ukishaangalia Azam, TBC, basi umekwiaha. And watawala are taking advantage of this.
Ukishashindwa kuwa class conscious, basi unaingia kwenye kundi la LUMPEN PROLETARIAT ambao ni Class Unconscious. They aré like sacs of potatoes and you can treat them the way you like. Ndivyo Watawala wa CCM wanavyo wa treat watanganyika!

Class conscious meaning

Being class-conscious means possessing an acute awareness of your socioeconomic position in society and recognizing the shared interests, struggles, or cultural values of your social class. It is an understanding that influences how you view yourself and your relationship to others in the broader societal hierarchy.

The Marxist Origin
The term originates from sociological and political theories popularized by Karl Marx. In this context, being class-conscious means that individuals in the working class (the proletariat) recognize their shared exploitation by the ruling or wealthy class (the bourgeoisie)
 
Hipo hivi; Unaweza kushangaa media za bongo zikawa maripota wa kubwa na wafatiliaji wakubwa wa nchi za watu mambo ambayo kwetu hata hawa wezi kufatilia na mpaka wakaweka kipindi kuonesha wameguswa na nchi za huko.
 
Generally, you'll never develop any true class consciousness by watching TV. Most of what you see nowdays is carefully programmed, or staged kwa kukushape perception than encourage critical thinking.
 
Generally, you'll never develop any true class consciousness by watching TV. Most of what you see nowadays is carefully programmed, or staged kwa kukushape perception than encourage critical thinking.
Kwahiyo tuangalie nini', chadema tv?!!!
 
Mtu asiyesoma vitabu vya kifalsafa, kisosholojia, kisaikolojia hata angeangalia channel za mbinguni atakuwa mweupe kichwani.
 
Definitely wewe ni Lumpen Proletariat! Doubt if you ever have seen the inside of a University class! Utawajua tu
Soma dogo umalize uje mtaani uku ndo utajuwa who is clasic na utajua hivyo vingereza ni kelele tupu
 
Sielewi msukumo uliokufanya kuleta mada kama hii hapa wakati huu; wakati tukiwa na janga kubwa kabisa linalotuzonga.

Hii ni mada nzito sana ambayo ni wazi uzito wake huna uwezo nayo. Nayasema haya kutokana na hayo machache uliyoweka hapo.

"Class Consciousness"? Unataka tuwe na hizo class consciousness waTanzania ili zitusaidie kitu gani; hasa ukichanganya na haya tuliyo nayo sasa!

Haya matabaka, wewe huyaoni ndiyo anayopigania Samia, au mpaka yaweje ndiyo uyatambue?

Kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui: hayo matelevisheni yooote uliyoyataja hapo ni vyombo vya propaganda. Sisemi TBC inanafuu zaidi ya hao' TBC na wenzake wote hata hawajui kazi wanayoifanya.

Unachoshindwa kuelewa wewe ni kuwa hizo "Class Consciousness" ndani ya jamii hazijengwi kwenye matelevisheni, ni mchakato unaoanzia mwanzo kabisa wa uhai wa raia ndani ya jamii husika.

Kinachotafutwa, na pengine nawe ndicho ulicholenga ni kumfanya mhusika/mlengwa awe ameandaliwa kuwa na ufahamu wa kutambua anacholishwa na hayo matelevisheni; ili ajijengee uamzi wake juu ya hicho anacholishwa.

Nirudie tena. Sijui ni nini hasa kimekupa msukumo wa kuleta mada kama hii hapa leo.
Ni mada muhimu sana na ni ngumu, hasa kwa uelewa tulionao sasa hivi miongoni mwa jamii yetu

Sitegemei kamwe kwamba lengo la CHADEMA litakuwa ni kujenga hizo unazoziita wewe "Class Consciousness". That will be a terrible thing to do for that party.

N.B.: Nilitaka kudai unipe mrejesho wa hoja yangu, lakini naogopa nitakachopata.
 
Back
Top Bottom