Fantastic Beast
Member
- Feb 18, 2019
- 53
- 539
Wamejenga vituo vya afya vilivyojaa vumbi na buibui, havitumiki coz hawajaajiri coz wanajenga SGR, Ndege, bwawa, ujinga mtupu.Mkuu, hao huwa tunawaita vichwa maji. Wanajiondoa ufahamu kuhusiana na adha na shida halisi za wananchi na kuishia kujificha ktk kutoa takwimu zisizo hata aminika...
Exactly na sie anayebagua kwa kupeleka maendeleo wakati kila mwananchi analipa kodi.Tunataka mtu atakaeonea uchungu kodi zetu
Magu na genge lake, wamekuwa wanasimama majukwaani miaka mi5, famous slogan,Thanks to globalization. Hata waliokuwa vijijini wengi wana smartphones wanafuatilia kila kitu. Hata haya tunayoyanena hapa wanayasoma na kuyaelewa.
Akili kubwa daima hudumu.
Busisi Kigongo unajenga daraja la nini wakati unatengeneza vivuko vipya??Bwana yule yuko hoi hapa Dodoma. Anachokiona kwa sasa hakukitarajia.
Amekonda, amepauka, amechoka na kuchakaa.
Amekosa raha kwani watanzania hawayataki mandege yake, mafly over na hata madaraja yake ya Busisi- Kigongo.
Wanachohitaji ni unafuu wa maisha ya kila siku ambapo ni mgombea wa CHADEMA pekee ndiye kawaahidi kutekeleza matakwa yao.
Udhalimu wa Meko ndio unamgharimu sasa.
Bwana yule yuko hoi hapa Dodoma. Anachokiona kwa sasa hakukitarajia.
Amekonda, amepauka, amechoka na kuchakaa.
Amekosa raha kwani watanzania hawayataki mandege yake, mafly over na hata madaraja yake ya Busisi- Kigongo.
Wanachohitaji ni unafuu wa maisha ya kila siku ambapo ni mgombea wa CHADEMA pekee ndiye kawaahidi kutekeleza matakwa yao.
Udhalimu wa Meko ndio unamgharimu sasa.
Tatizo jiwe haambiliki Alafu anaendesha nchi ki Familia Sana nani alikua anajua mwenye funguo za hazina ni mtoto wa dadake?
Nani alikua anajua amejibinafsishia hekta 25000?
Nani alikua anajua mayanga construction ambayo inapewa tenda za ukandaras nchi nzma bila zabuni ni ya mume mwenza wa Pombe
Tumechoka kutawaliwa kidikteta na Familia moja
We can't breathe
Ukiona kiongozi anabana Sana media ujue anamaovu mengi hataki yajulikani
Zipo kule karagwe kekta 25000 zinalindwa na JWTZMungu wangu raisi wa wanyonge kapora hekta 25,000 za wanyonge wake ziko wapi hizi mkuu? Anataka kuzifanyia nini mitamaa ya kijinga hii jamani? Hiyo pesa yote aliyokusanya na mihekta yote hiyo ya nini?
Zipo kule karagwe kekta 25000 zinalindwa na JWTZ
Wewe hujiulizi kwa nini mkuu wa majeshi,, wakuu wa usalama wa taifa, ni watu wa Familia yake
Mwenye dhamana ya pesa zote za Tanzania ni mtoto wa Dadake
Ile ardhi nasikia ameanza kujenga nyumba nyingi kama zile za Sadam husein wa Iraq
Nyumba ambazo zinafanana halafu chini kwa chini kuwe kuna Barabara ili hata walinzi wasijue kalala wapi
Huyu mtu kwa ukatili aliofanya anahofu Sana
Ukiona kiongozi anabana media ujue kuna mambo maovu mengi hataki watu wajue
Ni kweli yeye anataka awe Rais wa wanyongeInauma sana hii kitu mkuu. Mimi huwa ninajiuliza kila siku kama kuna tofauti kati ya huyu baba na Mobotu Seseseko. Binafsi sioni tofauti na kama ipo tofauti basi ni unafiki hakuna kitu kingine. Ni unafiki uliopitiliza kujiita rais wa wanyonge halafu ukatumia 56 billion za wanyonge kujenga airport kwa ajili yako peke yako halafu kama haitoshi ukajimilikisha hekta 25,000 ambazo ni size ya Taifa moja huko ulaya.