Empty container for sale
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,616
- 2,125
Ahaa mkuuDuh ! kweli wewe ni empty container
Huwezi kuzaliwa na kuishi ulaya au marekani ukashindwa kujua lugha ya kihaya
Ninachojua Tanzania hatuna mkoa na hakujawahi kuwepo mkoa unaoitwa Bukoba na hii ni ishara ya namna ulivyojaa mihemuko na umbumbumbu kama wenzako wa nkuyuUsisahau pia kuwa Bukoba ni kati ya Mkoa unao ongoza kwa umasikini Tanzania na wenyeji kujisifia wakiwa mjini ila cha ajabu bado kuna shule wanafunzi wanakalia mawe madarasani, wakisubiri Serikali ipeleke madawati..
Sijasema huduma nyingine za msingi.....
📡Duh ! kweli wewe ni empty container
Yan ww muhaya wa nshambya huko ndo unakuja kuhadaa umma kiasi hiki?
But majigambo ya wahaya na ukifika Kagera n vitu viwili tofauti, Kagera imekaa kama pagale lililotelekezwa
Barabara za vumbi, hakuna miundo mbinu ya kueleweka Yan kiufupi hapaeleweki
Hata aliyekuzaa atakuwa anakushangaa. Tumia akili za kichwani badala ya kale kamkia kalikobaki kabla ya mku__ndu wako. Hata shuleni ulikopita hakukusaidia chochote. Nenda huko kwenye shule zao ndiyo utaelewa nini maana ya majigambo na yana maana gani kwao. Kiufupi walichonacho huna na huwezi kuwa nacho kamwe ndiyo sababu ya kutwa kuwafikiria wao badala ya kufikiria kesho yako wakati wao hawana time na wewe. Barabara za vumbi ulitaka wao ndiyo wajenge hizo barabara za lami au hiyo miundombinu unayoitegemea. Wao wanajua walichonacho ni nini na ni dhahiri wewe ni miongoni mwa malimbukeni mnaofika na kuzunguka hapo bondeni na kurudi kwenu kisha kuja kujishau shaua kama kasuku kwa kujifanya unawajua sana wahaya na kagera. Hivi ni wapi hakuna barabara za vumbi au kwenu kule mnakoishi mbugani na ukame ambako hata pikipiki haifiki kunaeleweka na kuna barabara za lami? Usivyo na akili umeshindwa kuelewa kitu kidogo sana alichomaanisha mleta thread. Endelea kulala sababu ungekuwa na kitambi ungefichiwa aibu ya kuwa na utapiamlo na kusema una love box...sasa tunasema wewe ni kichwa coconut sababu cerebrum yako ina mawingu meusi.Yan ww muhaya wa nshambya huko ndo unakuja kuhadaa umma kiasi hiki?
But majigambo ya wahaya na ukifika Kagera n vitu viwili tofauti, Kagera imekaa kama pagale lililotelekezwa
Barabara za vumbi, hakuna miundo mbinu ya kueleweka Yan kiufupi hapaeleweki
Jibu hoja acha porojo;Ninachojua Tanzania hatuna mkoa na hakujawahi kuwepo mkoa unaoitwa Bukoba na hii ni ishara ya namna ulivyojaa mihemuko na umbumbumbu kama wenzako wa nkuyu
Kichwa chako ni mzigo kwa shingoHata aliyekuzaa atakuwa anakushangaa. Tumia akili za kichwani badala ya kale kamkia kalikobaki kabla ya mku__ndu wako. Hata shuleni ulikopita hakukusaidia chochote. Nenda huko kwenye shule zao ndiyo utaelewa nini maana ya majigambo na yana maana gani kwao. Kiufupi walichonacho huna na huwezi kuwa nacho kamwe ndiyo sababu ya kutwa kuwafikiria wao badala ya kufikiria kesho yako wakati wao hawana time na wewe. Barabara za vumbi ulitaka wao ndiyo wajenge hizo barabara za lami au hiyo miundombinu unayoitegemea. Wao wanajua walichonacho ni nini na ni dhahiri wewe ni miongoni mwa malimbukeni mnaofika na kuzunguka hapo bondeni na kurudi kwenu kisha kuja kujishau shaua kama kasuku kwa kujifanya unawajua sana wahaya na kagera. Hivi ni wapi hakuna barabara za vumbi au kwenu kule mnakoishi mbugani na ukame ambako hata pikipiki haifiki kunaeleweka na kuna barabara za lami? Usivyo na akili umeshindwa kuelewa kitu kidogo sana alichomaanisha mleta thread. Endelea kulala sababu ungekuwa na kitambi ungefichiwa aibu ya kuwa na utapiamlo na kusema una love box...sasa tunasema wewe ni kichwa coconut sababu cerebrum yako ina mawingu meusi.
Hakuna cha typo wala maken**de yako. Unaandika Bukoba badala ya Kagera au Kagera badala ya Bukoba alafu unasema ni typo!? Hakika kudharauliwa ni haki yako na ni jibu tosha kwamba u mbumbumbu. Hoja gani unayo au uliyoleta kihande wewe. Nyie ndiyo mnaambiwa changia madawati mnachanga wakati rasilimali za kutengeneza hayo madawati zipo za kutosha kila kona ya nchi.Jibu hoja acha porojo;
Ilikuwa Typo kuandika Bukoba badala ya Kagera.....nafikiri ni kwa sababu hao wanaojisifia mijini wapo Bukoba.....
Huna unachokijua na uaache kujikomba na kujipendekeza kwa watu kihande wewe. Mbona huongelei kwenu huko mnakokunywa maji ya kwenye madimbwi kwa kuchangia na mifugo? Ungekuwa wa kwanza kujipendekeza na kujikomba kwa jamii yako ili nayo ijikomboe kifikra na kimaendeleo badala ya kujikombakomba kwa watu wasiokuwa na muda wa kujikomba kwako. Utaolewa shauri yako.Binafsi nawakubali sana watu wa Kilimanjaro. Nilifika kule nikaona wapo tofauti sana.
Wamezoea kuchangia maendeleo yao wenyewe, tofauti na watanzania walio wengi....
Visima vya kawaida vya maji wamechimba wenyewe na kusambaziana maji, tatizo la madawati sijui vyoo mashuleni, wazazi walisha changa na kumaliza kabisa.....
Dispensary, wamejenga wenyewe kila kijiji na zaidi, mashule mengi tu wamejenga wenyewe karibia yanazidi....
ILA HAWA WENZETU, MAKELELE MEEENGI WAKIWA MJINI WAKATI MKOA WAO UNAONGOZA KWA LINDI LA UMASIKINI.....