Huwezi kuzungumzia machafuko ya mwaka 2007 - 2008 baada ya uchaguzi Kenya bila kumtaja Martha Karua

Ndio nimekaa zaidi ya miezi na ni majirani zangu! Kuhusu uwazi na uwajibikaji na Uhuru wa kujieleza Kenya wako vizuri katika Hilo ni uwongo usiopingika! Unless unaamua kubisha!
 
Ndio nimekaa zaidi ya miezi na ni majirani zangu! Kuhusu uwazi na uwajibikaji na Uhuru wa kujieleza Kenya wako vizuri katika Hilo ni uwongo usiopingika! Unless unaamua kubisha!
Maisha ya Kenya ni magumu yaliyojaa chuki ndani yake. Sio maisha ya kuiga kabisa. Uhuru mnaousemea nyie ni uhuru wa kutukana kitu ambacho kamwe ndani ya Tanzania hakitakubalika.
 
Imekaa vizuri sana hiyo
 
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…