Huwezi ukalazimishwa kufanya ila unaweza ukashauriwa

Huwezi ukalazimishwa kufanya ila unaweza ukashauriwa

Joined
Nov 8, 2016
Posts
23
Reaction score
33
KILA kitu kinaanza na wewe, maamuzi ya kufanyia ushauri KAZI ni yako na MTU hatakiwi kukuchukia kwasababu tu, HUJAFANYIA KAZI MAWAZO YAKE.

MAISHA YAKO NI JUKUMU LAKO.

Si Jambo jipya KWAMBA tuna risk appetite tofauti sana inapokuja KWENYE maswala ya FEDHA

wakati kuna asilimia tisini na tisa (99%) ya watu AMBAO wanaamini sana kwenye "ULINZI WA KAZI" kwa kimombo Job SECURITY, Ni asilimia moja tu (1%) ya watu ambao ni wajasiriamali aidha kwasababu wanapenda,shule ilipita kushoto au/na ukosefu wa AJIRA.

KUNA SABABU MBILI KUBWA AMBAZO ZINAWEZA KUKUFANYA UWE MJASIRIAMALI


1. Wewe ni MUAJIRIWA, na kiwango cha mshahara hakitoshi ku finance your lifestyle au kukabiliana na mahitaji ya kila SIKU.

Kama uko KWENYE KUNDI HILI, kuwa na side hustle, kuwekeza kwenye BIASHARA bila kuwekeza MUDA wako ili kuongeza kipato ku support lifestyle na kukabiliana na changamoto za kila siku za kifedha NI JAMBO LITAKALO KUSAIDIA

USHAURI

KANUNI, ni UNAPO PATA FAIDA chukua asilimia 60% ya FAIDA ITUMIE KWENYE MAMBO YAKO, asilimia 40% RUDISHA kwenye BIASHARA



2. Wewe ni kama MIMI, UJASIRIAMALI UKO kwenye damu unapenda the thrill that come with taking risks and the REWARD that come along it!!

USHAURI

a) Huna FAIDA MPAKA UWE NA KIASI CHA MARA MBILI YA MTAJI

WATU WENGI wanachanganya KWENYE kuhesabu FAIDA

Mfano:: Umeanza na MTAJI WA 1M faida yako INAANZA UNAPO FIKISHA 2M.

KITU CHA KWANZA, Ni kurudisha mtaji BIASHARA YAKO INAKUWA RISK FREE UKIFIKISHA 2M

ONDOA RISK, hakikisha BIASHARA haiendeshwi na MTAJI bali FAIDA.

b) KATIKA FAIDA YAKO

chukua 40% ya FAIDA kwa matumizi, 60% RUDISHA KWENYE BIASHARA

MFANO:: (ZINGATIA MFANO kipengele a) hapo juu)

SASA UKO, 3M deep

1M ni MTAJI (utakapo fikisha 2M ondoa 1M ya MTAJI weka PEMBENI unabaki na 1M)

1M, Uliyotengeneza kufikia 2M ndio hela utakayo operate nayo kuendesha BIASHARA

3M, milioni moja ya tatu kufikia 3M, CHUKUA 40% ambayo ni 400k, alafu rudisha 600k KWENYE BIASHARA

MTAJI UNAKUWA 1.6 M risk free

c) DIVERSIFICATION HAIANZI KAMA CURRENT BUSINESS HAIJASIMAMA

BIASHARA nyingi zinakufa kwasababu hii, mtu ana miliki BIASHARA nyingi changa kwa wakati mmoja, BILA KUWA NA SYSTEM NZURI YA USIMAMIZI.


[emoji3459]
 
Back
Top Bottom