Huwezi vitenga vyama vya kikomunisti na vyombo vya ulinzi na usalama/majeshi

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Katika siasa za ukomunisti:

Chama chenye mamlaka ya utawala ambacho ni chama cha kikomunisti kimejishikiza na vyombo vya ulinzi na usalama vyote.

Vyombo vyote vya ulinzi na usalama vinakuwa chini au katika uangalizi wa chama cha kikomunisti.

Wakuu wake wote huwa ni wanachama watiifu wa chama tawala cha kikomunisti na mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi usalama anakua sio mkuu wa majeshi bali ni mwenyekiti wa chama ama katibu mkuu wa chama itategemeana na muundo wa chama hicho cha kikomunisti.

Mfano nchi kama China mamlaka ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama yapo chini ya Chama cha kikomunisti cha China chini ya mwenyekiti wa Central Millitary Commission ambae ni katibu mkuu wa CCP Xi Jinping

Ilikuweza kufanya Coup katika nchi kama China sio rahisi jeshi kama jeshi kufanya lenyewe bila ruhusa ya kuanzia ndani ya chama.

Coup katika vyama vya namna hii Inategemeana na kutofautiana baina ya makundi ndani ya Chama na mara nyingi Coup katika nchi kama hizi huwa ni Coup za kimakundi ndani ya chama kundi moja kuondoa kundi lengine madarakani ila Coup zenye influence ya wananchi ni ngumu sana kutokana muundo wa majeshi ya katika nchi za namna hii na namna yalivyo jishikiza na chama tawala.

Jeshi la China PLA kwanza lilianzishwa na wakomunisti 1927 katika vita vya wenyewe kwa wenyewe na lipo pale mahususi kuhakikisha CCP wanaendelea kutawala kwa amani China.

Nchi yoyote iliyokopa baadhi ya mambo ya kiutawala kwa nchi kama China nchi hiyo ni rahisi kuwa baadhi ya sifa kama hizi hasa katika ushirikiano kati ya vyombo vya ulinzi na usalama na chama tawala ni rahisi kukuta viongozi mbalimbali wa vyombo vya ulinzi na usalama kuwa na link up kubwa na chama tawala hata kadi za chama tawala wanaweza hata kuwa nazo.

Nchi za namna hii sio rahisi kufanyiwa coup kutokana na shinikizo la wananchi kama jeshi na chama wanaishi vizuri.
download.jpeg
 
View attachment 3432660
Hivyo vyama haviwez ku operate kwneye mazingira ya democrasia , lazima kuwe na migongano always
 
Nchi za namna hii vyombo vyake vya ulinzi na usalama hufanya kazi ya kuhakikisha usalama wa chama tawala hii ni priority number one.
 
Hivyo vyama haviwez ku operate kwneye mazingira ya democrasia , lazima kuwe na migongano always
Wao mara nyingi husema au hujisifia kuwa wanatumia demokrasia ya ndani ya chama "Democratic Centralism"
 
Which is not reality, ni smoke screen tu wanatumia ili kuji market, but ndani yake hamna kitu kama hiko
 
Back
Top Bottom