Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
Asidhani mimi nimkimya sana. Mwenzio nalinda hadhi yangu(in Aslay song's voice) mwambie ama zake ama zangu.
Sisi tumetulia zetu. Tumekaa zetu. Tunaenjoy zetu. Tunapongezana zetu.
Mtu mmoja anakuja huko anasema tunapewa uplatinum ili kupumbazwa. Kuchezewa viini macho. Kulishwa Unga wa ndere.
Hapana haya matusi jamani.
Najua Platinum Member kwenu sio desturi kubishana na kukabiliana na mambo yanayosemwa na watu. Na mimi mgeni mtaniona kama nimeletwa kimakosa huku.
Haivumiliki. Kwamba uplatinum ni kama limbwata hivi. Kwamba linakupumbaza.
Yule mtu asiye na adabu akasema tunapewa limbwata ili tujione wa maana, wamuhimu na yeye akasema hatuna umuhimu wowote. Hatuna lolote zaidi ya kupumbazwa.
Nataka kumwambia hivi. Sisi tutaendelea kujitofautisha na members wengine. Tutalinda heshima na hadhi yetu ya uplatinum.
Hatutarudishwa nyuma na watu wawili ambao tayari wamejitokeza kuonyesha hasira zao. Na tumeandaa mfuko maalumu wa kusaidia watu aina hiyo. Tutafanya bure kama sadaka. Wala hatutahitaji malipo akhera wala hapa duniani.
Ngoma hiyo ishalia. Acha tucheze.
TaikonMaster
Mjumbe wa baraza la Platinum Member wa JF
Kwa sasa Kahama, shinyanga