Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nafikiri mpaka hapo hakuna swali kwa golikipa wa kimataifa raia wa Mali, Yanga mpira mmecheza hongereni sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amedaka nini sasa
Wale kina mighter bado wamejificha nyuma ya babras🤣🤣🤣🤣Makolo fc wamelala na viatu leo
.... Tena tumuulize huyo mkia fc, kwan kipa huwa anadaka nini? Machungwa ???Utajinyonga wewe, unateseka ukiwa wapi mkuu, na mpira umeangalia au unasubili kusimuliwa, ungekuwa umeangalia usingeropoka
Hajapata majaribio ya maana kabisa, sijaona akisumbuliwa na washamuliaji wa simba, hana serve ya maana aliyofanya.Nafikiri mpaka hapo hakuna swali kwa golikipa wa kimataifa raia wa Mali, Yanga mpira mmecheza hongereni sana.
View attachment 1952628
Hawaonekani wiki yote hii, lile goli la kiwango litakuwa bado akilini mwao, bado hawaelewi Mayele aliunganishaje ile pasiWale kina mighter bado wamejificha nyuma ya babras[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mwenzake NAWATAFUNA wanapita kwa mbali utafikiri jukwaani humu kunawaka moto.Wale kina mighter bado wamejificha nyuma ya babras[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amedaka makalio ya mikiaAmedaka nini sasa
Daah! Kweli simba hawana washambuliajiTuache unafki hapo hamna kipa Zaid Simba Haina mshambuliaj anayejua kucheza na nyavu.
Huyo kipa mnampa sifa za bure mtu gan anapoteza muda kias kile kibaya Zaid timu yake inashambulia vzr tu lakin anakuwa muoga .
Mm yanga nawapongeza kwa muunganiko mzur wa viungo bangala na aucho plus fei hao ndio roho ya timu na msimu huu watasumbua Sana na hao ndio wamemlinda Sana huyo kipa maana walizui madhara kibao ambapo sikuona huyo kipa akisumbuka.
Manula anapopotezaga muda kumbe na yeye ni kipa wa ovyo ovyo eti, kupoteza muda sio kipimo cha kipa iyo ni kupunguza kasi ya mpinzani na tempo ya mchezo inaruhusiwa kiufundiTuache unafki hapo hamna kipa Zaid Simba Haina mshambuliaj anayejua kucheza na nyavu.
Huyo kipa mnampa sifa za bure mtu gan anapoteza muda kias kile kibaya Zaid timu yake inashambulia vzr tu lakin anakuwa muoga .
Mm yanga nawapongeza kwa muunganiko mzur wa viungo bangala na aucho plus fei hao ndio roho ya timu na msimu huu watasumbua Sana na hao ndio wamemlinda Sana huyo kipa maana walizui madhara kibao ambapo sikuona huyo kipa akisumbuka.
HahahaaWale kina mighter bado wamejificha nyuma ya babras🤣🤣🤣🤣
Namlaumu kocha kwa kumuamini Mugalu kila mechi na anapoteza nafasi na haonyeshi kujutia.Tuache unafki hapo hamna kipa Zaid Simba Haina mshambuliaj anayejua kucheza na nyavu.