Huyo anaitwa Djigui Diara, kuna mwenye swali!

Huyo anaitwa Djigui Diara, kuna mwenye swali!

Hapakuwepo mshambuliaji wa kumtikisa.
Pia Beki ya Yanga ilikuwa imara siku hiyo.
Mdio maana aliweza ku shine
 
Tutaongea lugha zote msimu huu lakini vya moto tutakuwa tumeviona!
Hii si mechi moja tu.
Mechi moja huwezi ukatoa hitimisho la ubora wa timu.
Ngoja ligi ianze utasifia hapo baadae.
Kama kufungwa Goli hilo moja hata msimu uliopita Simba ilifungwa goli moja la
Zawadi Mauya na hadithi ikaishia hapo.
Ngoja mbio za ubingwa zianze ndo tutajua mbivu na mbichi
 
naskia yanga wamepanda kiwango kule CAF baada ya kuifunga simba. kutoka nafasi ya 200 mpaka ta 8
Kama ingekua Yanga akimfunga Simba rank yake CAF inapanda Kwasasa angekua anaongoza kwakua Yanga ameanza kumfunga Simba Tangu mwaka 1937 ata ilipoanzishwa Ligi ya taifa mwaka 1966 Simba imekua kibonde wa Yanga kwa miaka Mingi.
 
Tuache unafki hapo hamna kipa Zaid Simba Haina mshambuliaj anayejua kucheza na nyavu.

Huyo kipa mnampa sifa za bure mtu gan anapoteza muda kias kile kibaya Zaid timu yake inashambulia vzr tu lakin anakuwa muoga .
Mm yanga nawapongeza kwa muunganiko mzur wa viungo bangala na aucho plus fei hao ndio roho ya timu na msimu huu watasumbua Sana na hao ndio wamemlinda Sana huyo kipa maana walizui madhara kibao ambapo sikuona huyo kipa akisumbuka.
Kwa hiyo kipa ni Manula? Aliyezoea kufungwa magoli mengi mara goli 4 mara goli 5,hamsa hamsa.Kama kweli Simba SC wanataka kufika mbali kwenye ligi ya mabingwa Manula siyo kipa wa kumtegemea
 
Back
Top Bottom