Huyo anaitwa Djigui Diara, kuna mwenye swali!

Wale kina mighter bado wamejificha nyuma ya babras[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawaonekani wiki yote hii, lile goli la kiwango litakuwa bado akilini mwao, bado hawaelewi Mayele aliunganishaje ile pasi
 
Tuache unafki hapo hamna kipa Zaid Simba Haina mshambuliaj anayejua kucheza na nyavu.

Huyo kipa mnampa sifa za bure mtu gan anapoteza muda kias kile kibaya Zaid timu yake inashambulia vzr tu lakin anakuwa muoga .
Mm yanga nawapongeza kwa muunganiko mzur wa viungo bangala na aucho plus fei hao ndio roho ya timu na msimu huu watasumbua Sana na hao ndio wamemlinda Sana huyo kipa maana walizui madhara kibao ambapo sikuona huyo kipa akisumbuka.
 
Daah! Kweli simba hawana washambuliaji
Bongo unafiki huwezi kuisha, kuna forward kuzidi ya simbs hapa bongo
 
Manula anapopotezaga muda kumbe na yeye ni kipa wa ovyo ovyo eti, kupoteza muda sio kipimo cha kipa iyo ni kupunguza kasi ya mpinzani na tempo ya mchezo inaruhusiwa kiufundi
 
Namlaumu kocha kwa kumuamini Mugalu kila mechi na anapoteza nafasi na haonyeshi kujutia.

Kapoteza nafasi ya wazi kabisa kipindi cha pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…