Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Huyo jamaa kwa magumu aliyopitia kwa miaka minne kama Kiongozi wa Nchi kwa hakika ana Mungu na ni muda muafaka aachwe tu.
Matusi,chuki,kukatishwa tamaa na hata kutabiliwa kifo ilikuwa ni rahisi kwake kukata tamaa na pengine angeamua tu kuwa upande wa mafisadi ili kuwafurahisha wakosoaji na angebaki na AMANI ya moyo.
NILICHOGUNDUA HUYO MTU ANA MUNGU WAKE NA NI VIGUMU KUMKWAMISHA.Muda muafaka wa kumuacha aendelee kivyake ni huu.
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.