Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 689
- 1,096
Unapita kushoto kia-aina🤣Mambo mengine kujitia msongo basi tu, tujifunze kupuuzia baadhi ya mambo.
Marekebisho hapa ni, Tarik KipembaJack Kipemba
Ndio nani sasa?Marekebisho hapa ni, Tarik Kipemba
Kumchangia mtu mpaka umjue? Ni shemeji yko wa keko machungwaNdio nani sasa?
NotedMarekebisho hapa ni, Tarik Kipemba
Kijana mmoja hivi wa moshi...alimwagiwa tindikali usoni na wasio julikana...akapelekwa hospital ya KCMC kwa ajili ya matibabu...wakashindwa akawa transfd India ambapo ilikuja bainika kuwa...ile tindikali imeathiri sana mifumo ya mishipa ya faham ya macho kupelekea kutokuja kuona tena...familia ilijitahid kwa gharama za awali na taktiban mil 50 zilikwisha tumika...bila mafanikioMarekebisho hapa ni, Tarik Kipemba
Umewaza vizuri sanaIla hizi gharama za matibabu huko India zinatumaliza sana WaAfrica, hivi viongozi wa Africa hawawezi kukaa kikao na kujenga lihospitali limoja hapa Africa lenye facilities na madaktari bingwa wengine wakiajiriwa kutoka huko huko india na kusomesha vijana wetu wa kiaAfrica na waAfrica wote watibiwe hapo?
HaswaaaMambo mengine kujitia msongo basi tu, tujifunze kupuuzia baadhi ya mambo.
Duuh jamani. Ndo yule kaka mmoja hivi kama shombe shombe?Kijana mmoja hivi wa moshi...alimwagiwa tindikali usoni na wasio julikana...akapelekwa hospital ya KCMC kwa ajili ya matibabu...wakashindwa akawa transfd India ambapo ilikuja bainika kuwa...ile tindikali imeathiri sana mifumo ya mishipa ya faham ya macho kupelekea kutokuja kuona tena...familia ilijitahid kwa gharama za awali na taktiban mil 50 zilikwisha tumika...bila mafanikio
Ingawa madactari nchini india wamereport kuna uwezekano wa Tarik kuja kuona lakin kwa jicho moja...hivyo basi wanampambania kwa hilo...ingawa gharama itakuwa kubwa sana....hivyo familia imeshindwa kuzimudu na kuwaomba watanzania msaada caz kijana aweze ona nuru tena...Ni hayo tuu
Na kuhusu kwa nn anapata air tym clouds mara kwa mara...ni hiv Tariki moshi alikuwa akiishi na bibi yake...na mama yake mdogo ni mmoja wa wafanyakaz wa clouds...na hyu mama yake mdogo ndio anamuuguza Tarik...hivyo nahis ndio maana wameamua kumtangaza mara kwa mara..
Hayo ndio ninayo yafaham...kwa watao guswa...namba za sim, na acc namba yake wasikilize clouds mara nyingi huwa wanazitaja.
YapDuuh jamani. Ndo yule kaka mmoja hivi kama shombe shombe?
Ni nani hao walimwagia? Wangekamatwa wavunjwe vunjwe viungo maini figo ziuzwe wamtibie kaka wa watu
Leo kwake kesho kwangu na wengineNadhani atakuwa ni yule kijana wa Moshi aliyemwagiwa tindikali ikamwaribu ngozi ya uso na macho kuona .
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ya dunia haya...mimi nilijiuliza kwa nn amwagiwe...caz mama yake mdogo alipofanya mahojiano na kile kipindi cha njia panda...alisema mwanae hana makundi, hatumii vilevi...na ndio kwanza alikuwa anafungua kampuni ya utalii..na hata baadhi ya matibabu alisaidiwa na marafik zake Talik walio kuwa nje ya nchi (watalii) lakin na wenyewe imefika sehemu wanazidiwa.Ni nani hao walimwagia? Wangekamatwa wavunjwe vunjwe viungo maini figo ziuzwe wamtibie kaka wa watu
Ila hizi gharama za matibabu huko India zinatumaliza sana WaAfrica, hivi viongozi wa Africa hawawezi kukaa kikao na kujenga lihospitali limoja hapa Africa lenye facilities na madaktari bingwa wengine wakiajiriwa kutoka huko huko india na kusomesha vijana wetu wa kiaAfrica na waAfrica wote watibiwe hapo?