Dunia ni giza kwakweli tunaona vya hapo mbele ya macho yetu tuu vinavyokuja mita chache hatuwezi ona au kuwaza. Ni tabu sanaYa dunia haya...mimi nilijiuliza kwa nn amwagiwe...caz mama yake mdogo alipofanya mahojiano na kile kipindi cha njia panda...alisema mwanae hana makundi, hatumii vilevi...na ndio kwanza alikuwa anafungua kampuni ya utalii..na hata baadhi ya matibabu alisaidiwa na marafik zake Talik walio kuwa nje ya nchi (watalii) lakin na wenyewe imefika sehemu wanazidiwa.
Tatizo litakuja itajengwa nchi gani maana kila raisi atataka ijengwe kwake ndo maana ukawa walipoambiwa waungane watoe raisi mmoja mziki ukaja raisi atatoka chama gani ikabidi kila mtu ajipambanie mwenyewe hii ndo Africa.Ila hizi gharama za matibabu huko India zinatumaliza sana WaAfrica, hivi viongozi wa Africa hawawezi kukaa kikao na kujenga lihospitali limoja hapa Africa lenye facilities na madaktari bingwa wengine wakiajiriwa kutoka huko huko india na kusomesha vijana wetu wa kiaAfrica na waAfrica wote watibiwe hapo?
Uliwahi kusikiliza kipindi chake cha njia panda kama hukusikiliza ungejipa mda kumsikiliza huenda ungeelewa mnakosea kuongelea kitu bila kukisìiliza vizuriHuwa nasikia tumchangie sijui Jack Kipemba Yuko India, sijui ni nani mpaka kuchangiwa pesa yote hiyo na wananchi ambao ni masikini wa kutupwa.
Badala ya Serekali kuchangia au taasisi nyingine za dini kuliko sisi wanachi walalahoi, nijuavyo Mimi wasikilizaji wa Radio wengi ni watu wa Hali ya chini, na kumuweka Dr Isaac Maro nadhani ni kuwachosha wachangiaji wadogo wadogo wa kipindi chake cha NJIA PANDA.
Itafijia hata watu wadogo wenye uhitaji wa Laki mpaka milioni watakosa kuchangiwa kwa watu kukata tamaa! Mawazo yangu tatizo lake lingegharamiwa na serikali, na sisi wachangiaji wadogo wadogo tuachiwe hawa wahitaji wa pesa hizi ndg ndg. Dr Isaac ustumike vibaya mpaka ukapoteza mvuto wako kwa wasikilizaji wako, matatizo ni mengi na TOZO zimeshatuchanganya ujue.
Hali ni mbaya
Huyo shombe shombe ni albeity yeye Tariq ni mswahili kijana wa KLMDuuh jamani. Ndo yule kaka mmoja hivi kama shombe shombe?
Wadau walikuwa wanasema visasi tu wengine wanadai mke wa mtu ila hzo zote ni fununu maana wabongo kwa kujifanya wajuaji wapo vizuri.Ya dunia haya...mimi nilijiuliza kwa nn amwagiwe...caz mama yake mdogo alipofanya mahojiano na kile kipindi cha njia panda...alisema mwanae hana makundi, hatumii vilevi...na ndio kwanza alikuwa anafungua kampuni ya utalii..na hata baadhi ya matibabu alisaidiwa na marafik zake Talik walio kuwa nje ya nchi (watalii) lakin na wenyewe imefika sehemu wanazidiwa.
Ila hizi gharama za matibabu huko India zinatumaliza sana WaAfrica, hivi viongozi wa Africa hawawezi kukaa kikao na kujenga lihospitali limoja hapa Africa lenye facilities na madaktari bingwa wengine wakiajiriwa kutoka huko huko india na kusomesha vijana wetu wa kiaAfrica na waAfrica wote watibiwe hapo?
Afrika inajua biashara ya zimamoto tu, tena magari yenyewe yakifika eneo la tukio, yanakuwa hayana majiIla hizi gharama za matibabu huko India zinatumaliza sana WaAfrica, hivi viongozi wa Africa hawawezi kukaa kikao na kujenga lihospitali limoja hapa Africa lenye facilities na madaktari bingwa wengine wakiajiriwa kutoka huko huko india na kusomesha vijana wetu wa kiaAfrica na waAfrica wote watibiwe hapo?
Unajuaje kwamba hayamhusu? Halafu, na wewe hapa umefuata nini?πππAcha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu yasiyokuhusu.
Vitu vingine unajipea stress zisizo kichwa wala miguu.
Kumbe kuna,wawili wamemwagiwa huko?Huyo shombe shombe ni albeity yeye Tariq ni mswahili kijana wa KLM
Hapana mkuu huyo shombe shombe yeye ni issue ya spine alikua anadiveKumbe kuna,wawili wamemwagiwa huko?