M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Jun 27, 2024 #1 Fuatilia kwa umakini maswali anayo muuliza. Kitalaamu tunaita leading questions. Yaani anamuuliza maswali ya majibu aliyonayo tayari . Lafudhi yake tu. Inaonyesha sio mtu wa Katavi. Cc Jebra Kambole
Fuatilia kwa umakini maswali anayo muuliza. Kitalaamu tunaita leading questions. Yaani anamuuliza maswali ya majibu aliyonayo tayari . Lafudhi yake tu. Inaonyesha sio mtu wa Katavi. Cc Jebra Kambole
The Republican Senior Member Joined Dec 5, 2021 Posts 174 Reaction score 307 Jun 27, 2024 #2 Tupe madini, Bado sjaelewa
Bob Manson JF-Expert Member Joined May 16, 2021 Posts 4,158 Reaction score 7,787 Jun 27, 2024 #3 Katika ile video Kuna jamaa anamuuliza Edger eti "ulikuwa na pesa"
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,836 Reaction score 6,303 Jun 27, 2024 #4 Kwakweli kazi ipo. Yaani unaweza hata kumjibu vibaya muuliza swali. Ni vile tu unakuwa unahitaji msaada inabidi uwe mpole.
Kwakweli kazi ipo. Yaani unaweza hata kumjibu vibaya muuliza swali. Ni vile tu unakuwa unahitaji msaada inabidi uwe mpole.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 27, 2024 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jun 27, 2024 #6 Pia binafsi nilikua nina wasiwasi mno na hayo mahojiano , kumbe tupo wengi.