Huyo Naibu Meya wa Kinondoni ninayo hakika hatomsahau huyo Mkurya

Huyo Naibu Meya wa Kinondoni ninayo hakika hatomsahau huyo Mkurya

Naona hata huu mradi wa njia nne kipande cha Nsalaga hadi Ifisi (Mbeya), njia kuu ya TANZAM, mchina kaweka mpira kwapani, wanadai hajalipwa miezi kadhaa
Ule ni uhuni, makubaliano yaliuwa ni kujenga kwa fund zao. Sasa wanataka waanze kulipwa ili iwe nini?

Waisaini mikataba kwa mbwembwe kumbe utekeezaji bure kabisa.
 
Naona hata huu mradi wa njia nne kipande cha Nsalaga hadi Ifisi (Mbeya), njia kuu ya TANZAM, mchina kaweka mpira kwapani, wanadai hajalipwa miezi kadhaa
Hivi kwa nini serikali huwa inachelewesha malipo ya msingi ambazo ni haki za watu? Ukienda kwa watumishi kuna ambao wanadai malimbikizo ya mishahara zaidi ya miaka mitatu na wengine zaidi.

Hivi huyu anayecheleweshaga huwa ni nani hasa? Utasikia wanasema fedha zipo ila hazifiki kwa wakati kwenye miradi au kwa wahusika. Miradi mengi kwa sasa speed ya utekelezaji imekuwa ndogo kwa kweli tofauti sana na miaka mitatu iliyopita ardhi ilikuwa inapigika. Hizi fedha huwa zinacheleweshwa kwa makusudi na baadhi ya watumishi wenye tamaa zao kisha wanasingizia serikali hapo ndipo wizara kama hii ya ujenzi inamtaka mtu karba ya Makonda.
 
Ule ni uhuni, makubaliano yaliuwa ni kujenga kwa fund zao. Sasa wanataka waanze kulipwa ili iwe nini?

Waisaini mikataba kwa mbwembwe kumbe utekeezaji bure kabisa.
Sidhani kama uko sahihi, nilikuwepo siku wanasaini ule mkataba kwa mbwembwe mbele ya umma. Pia bungeni walisema wameishatenga bajeti kiasi cha asilimia 14 au 17 kama sijasahau. Nadhani kuna tatizo mahala fulani kwenye serikali kutoa pesa kwa wakati. Nimeona hata kipande cha Uyole njia panda-Igawilo kinachofanyiwa maboresho nacho kimekwama.
 
Naona hata huu mradi wa njia nne kipande cha Nsalaga hadi Ifisi (Mbeya), njia kuu ya TANZAM, mchina kaweka mpira kwapani, wanadai hajalipwa miezi kadhaa
Nikikutajia ni Miradi mingapi utashangaa, hata ule mradi wenu WA Maji Mbeya wa 90B mkandarasi kaingia mitini, Ule kule NJOMBE wilaya ya Makete, the same, Kibondo huko, hamna kitu na kwingine.......
 
Back
Top Bottom