Huyo Naibu Meya wa Kinondoni ninayo hakika hatomsahau huyo Mkurya

Huyo Naibu Meya wa Kinondoni ninayo hakika hatomsahau huyo Mkurya

mimi japo mmeru kuna mikoa nawahusudu sana watu wake mathalani Mbeya, Mara na KLM watu wana ujasiri..
Ila utawala I wish sana Prof Mark Mwandosya na James Mbatia kwa awamu tofauti wangepata kua marais wa nchi. wangeleta mageuzi makubwa
 
Sidhani kama uko sahihi, nilikuwepo siku wanasaini ule mkataba kwa mbwembwe mbele ya umma. Pia bungeni walisema wameishatenga bajeti kiasi cha asilimia 14 au 17 kama sijasahau. Nadhani kuna tatizo mahala fulani kwenye serikali kutoa pesa kwa wakati. Nimeona hata kipande cha Uyole njia panda-Igawilo kinachofanyiwa maboresho nacho kimekwama.
Hiyo yote ni miradi ya EPC +F. Baadae ikaleta hadi hoja kama sijakosea ni za CAG ama ilihojiwa bungune wanatenga hizo fedha za nini wakati utekelezaji wa mradi hauhitaji funding toka serikalini kwa wakati huu.
 
Hivi kwa nini serikali huwa inachelewesha malipo ya msingi ambazo ni haki za watu? Ukienda kwa watumishi kuna ambao wanadai malimbikizo ya mishahara zaidi ya mika mitatu na wengine zaidi.

Hivi huyu anayecheleweshaga huwa ni nani hasa? Utasikia wanasema fedha zipo ila hazifiki kwa wakati kwenye miradi au kwa wahusika. Miradi mengi kwa sasa speed ya utekelezaji imekuwa ndogo kwa kweli tofauti sana na miaka mitatu iliyopita ardhi ilikuwa inapigika. Hizi fedha huwa zinacheleweshwa kwa makusudi na baadhi ya watumishi wenye tamaa zao kisha wanasingizia serikali hapo ndipo wizara kama hii ya ujenzi inamtaka mtu karba ya Makonda.
Rushwa,umaskini na roho mbaya hasa wahasibu na ile chain yote ya malipo.
 
Back
Top Bottom