Huyo Naibu Meya wa Kinondoni ninayo hakika hatomsahau huyo Mkurya

mimi japo mmeru kuna mikoa nawahusudu sana watu wake mathalani Mbeya, Mara na KLM watu wana ujasiri..
Ila utawala I wish sana Prof Mark Mwandosya na James Mbatia kwa awamu tofauti wangepata kua marais wa nchi. wangeleta mageuzi makubwa
 
Hiyo yote ni miradi ya EPC +F. Baadae ikaleta hadi hoja kama sijakosea ni za CAG ama ilihojiwa bungune wanatenga hizo fedha za nini wakati utekelezaji wa mradi hauhitaji funding toka serikalini kwa wakati huu.
 
Naona hata huu mradi wa njia nne kipande cha Nsalaga hadi Ifisi (Mbeya), njia kuu ya TANZAM, mchina kaweka mpira kwapani, wanadai hajalipwa miezi kadhaa
We naona hujaona kama kuna uchafuzi hivi karibuni kila mahali
 
Rushwa,umaskini na roho mbaya hasa wahasibu na ile chain yote ya malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…