View attachment 730790
Huyo ndie Mwanamitindo wa kitaifa na kimataifa zaidi anaitwa @noelgiotz wa tz wote saport yako ndio itamfanya azidi KUSONGA mbere zaidi ku like sana kazi zake na kupost sana kwenye pejizenu wapendwa wangu hapo utakuwa unampa nguvu✨ zaidi ya kufanya kazi zake anawapenda nawapenda pia
Source: Instagram
Shetani tooooooooooooooooooooka katika JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH!. Ushindwe na urudi katika vilindi kusikokaliwa na watu, KWA JINA LA YESU KRISTO, nafuta ushawishi wako katika uso wa dunia kwa DAMU YA YESU KRISTO.
Kumbukumbu zako katika fahamu za wanadamu, vijana wa kiume na wa kike, wanawake na wanaume wa rika zote, watoto aina zote, ninazifuta kwa DAMU YA YESU KRISTO ALIYE HAI.
Ninavuruga mipango yako na nakutenga na washauri wako katika uharibifu kwa JINA LA YESU KRISTO AISHIYE MILELE.
NINABATILISHA MASHAURI YAKO NA NAHARIBU NGUVU NA NGUZO ZAKO ZOTE KATIKA JINA LA BWANA YESU KRISTO ALIYE HAI MILELE.
Nageuze nia yako, itoke katika uharibifu, imwelekee Mungu kuanzia sasa. Kwa JINA LA YESU KRISTO WA NAZARETH, SASA IMEKUWA HIYVO. AMEN