Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

We utakufa tena na stress CCM iko mpk vilembwe vyako. Mamako ana bahati mbaya kuzaa zombie km wewe ni mzigo wa gunia la misumari utamtesa mpk kufa
CCM Haina ubavu huoo, bila kutumia Jeshi la Polisi na vyombo vya Ulinzi, hamtoboi popoteee pale
 
CCM imebaki kuwa chaka la wahuni, Mafisadi, wezi na majambazi...
 
Zile pisi ni mbovu kudadeki, mke ni mzuri kuliko michepuko.

Kama ni Mwijaku huyuhuyu basi kafeli
 
Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.


Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu wake ,akili zinafanana.


Mwijaku alianza kuvujisha picha chafu Kwa yule Dada, lakini baadae CCM wakamuona ni SHUJAA.


Mwijaku huyohuyo tukamuona Maka ,anaswali ujinga ujinga .


Mwijaku huyohuyo anapelekea BINTI MDOGO Kudhalilishwa utu wake.


KESHO TUTAMUONA MWIJAKU ,KAVAA LITISHETI LA CCM, YUKO MBELE KUITANGAZA CCM


Hiki chama ni rubbish !!.
Ukiwa unamadili mabaya au ya moto nenda CCM
 
Issue ya mademu wa mwijaku na Haji manara kutangaza mke mpya ilikuwa kuzima waraka mbalimbali zinazotolewa na maaskofu lakini naona zimebuma vibaya
Ccm wanaamini watanzania bado wanapenda udaku😳😳
 
Issue ya mademu wa mwijaku na Haji manara kutangaza mke mpya ilikuwa kuzima waraka mbalimbali zinazotolewa na maaskofu lakini naona zimebuma vibaya
Ccm wanaamini watanzania bado wanapenda udaku😳😳
😀😀😀
 
Issue ya mademu wa mwijaku na Haji manara kutangaza mke mpya ilikuwa kuzima waraka mbalimbali zinazotolewa na maaskofu lakini naona zimebuma vibaya
Ccm wanaamini watanzania bado wanapenda udaku😳😳
Kama ndo zao, this time imebuma vibaya
 
Back
Top Bottom