Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
- Thread starter
-
- #21
CCM Haina ubavu huoo, bila kutumia Jeshi la Polisi na vyombo vya Ulinzi, hamtoboi popoteee paleWe utakufa tena na stress CCM iko mpk vilembwe vyako. Mamako ana bahati mbaya kuzaa zombie km wewe ni mzigo wa gunia la misumari utamtesa mpk kufa
Ukiwa unamadili mabaya au ya moto nenda CCMKwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.
Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu wake ,akili zinafanana.
Mwijaku alianza kuvujisha picha chafu Kwa yule Dada, lakini baadae CCM wakamuona ni SHUJAA.
Mwijaku huyohuyo tukamuona Maka ,anaswali ujinga ujinga .
Mwijaku huyohuyo anapelekea BINTI MDOGO Kudhalilishwa utu wake.
KESHO TUTAMUONA MWIJAKU ,KAVAA LITISHETI LA CCM, YUKO MBELE KUITANGAZA CCM
Hiki chama ni rubbish !!.
Pisinza kiwango Cha chini sanaaaa , Nadhan jamaa hapo kafuata mseleleko wa Nyapu.Zile pisi ni mbovu kudadeki, mke ni mzuri kuliko michepuko.
Kama ni Mwijaku huyuhuyu basi kafeli
Kabisaa ,haiwezekan waovu woooote ,wanaokimbilia CCM.Ukiwa unamadili mabaya au ya moto nenda CCM
Labda zilimletea shobo akapita nazo, kwa jina lake walau una kamchepuko kanakojielewa upstairs, walichofanya ni ujinga wale watoto.Pisinza kiwango Cha chini sanaaaa , Nadhan jamaa hapo kafuata mseleleko wa Nyapu.
😀😀😀Issue ya mademu wa mwijaku na Haji manara kutangaza mke mpya ilikuwa kuzima waraka mbalimbali zinazotolewa na maaskofu lakini naona zimebuma vibaya
Ccm wanaamini watanzania bado wanapenda udaku😳😳
Kama ndo zao, this time imebuma vibayaIssue ya mademu wa mwijaku na Haji manara kutangaza mke mpya ilikuwa kuzima waraka mbalimbali zinazotolewa na maaskofu lakini naona zimebuma vibaya
Ccm wanaamini watanzania bado wanapenda udaku😳😳