Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa weka kimombo chako tuone?
Kwanza tanzania hakuna ministry of finance and planning. Ameshapia hivyo barua ni null and void
Ni proofreading tu ya kawaida ndio hamna ila it's fair English.Mkuu hakuna Kiingerza hapo ila kuna mkusanyiko wa maneno ya kiingerza
YAANI ANAONYESHA UPUMBAVU WAKE HADHARANI SIJUI KWA MANUFAA YA NANI?
Mdude ni "Loose Canon" 😆 nadhani huo sio msimamo wa CHADEMA sioni hata nembo ya Chama 😂😂Mdude, kaandika yeye kama yeye au kwa maelekezo ya chama?!.. kila mtu akiamua kuwaandikia hao WB. watasoma barua ngapi?!
wewe unaona ni kiswahili hapo?Wewe unaona ung'eng'e hapo?
😂😂😂Mbona kiingereza kizuri tu sema proof reading tu haikufanyika. Ili uone ambavyo hujui chochote jaribu kurekebisha sentensi yoyote hapo.
Kwanza tanzania hakuna ministry of finance and planning. Ameshapia hivyo barua ni null and void
Hebu weka clip ya dhalimu magu akiongea kikristo tuone.Mkuu hakuna Kiingerza hapo ila kuna mkusanyiko wa maneno ya kiingereza