Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
deblabant passion_amo1 ameonesha kumbe mdude ni mtaalam wa lugha kuliko wewe...
Naona johnthebaptist amekumbuka enzi zake za "middle school" enzi kuongea kiingereza ni usomi na maendeleo.
Siku hizi kuna hizo zinaitwa "Kg 2" mtoto mdogo wa chekechea anabonga kiingereza kama mtasha... Kichwani Sasa...