Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
MbagaUpinzani wana matatizo sana ya akili, kwahy wao wakichukua nchi hawatokopa na kupokea misaada
wanapambana nao vipi mkuu? Kwani ni mara ngapi wanasema na pesa hazitumiki zinavyopaswa? Mbona hata Zitto Kabwe alishawahi kufanya hivi.Huo muda n bora kupambana na viongozi wa ndani ili hizo pesa zitumike vzr na sio kupinga misaada incase hayana mipango mibaya.
mbowe alikosea na hana mamlaka hayo. Serikali haitoi Msaada inafanya wajibu na ni lazima kutimiza.Mbowe aliwahi kuwaambia wanakijiji flani kususia huduma kutoka serikalini huku wao wakiwa hawatoi msaada wowote kwa hao wanakijiji.
Mkuu hakuna Kiingerza hapo ila kuna mkusanyiko wa maneno ya kiingereza
Kaolewe nayeKwani uliambiwa huo ni mtihani wa lugha ya Kiingereza ? Wacheni utumwa wa kukiabudu kingereza kana kwama ndiyo kipimo cha usomi. Jambo la msingi ni kuwa ujumbe umeeleweka na hata hao walioandikiwa wanajua kuwa kingereza siyo lugha mama ya watanzania.
"Catarist..."😁Daaaa eti weka clip dhalimu akibonga ngeli....kazi sanaaa
Una uhakika na usemalo?Ni proofreading tu ya kawaida ndio hamna ila it's fair English.
Ohoo!Hebu weka clip ya dhalimu magu akiongea kikristo tuone.
Kwani watu binafsi wanazuiliwa kuiandikia world bank?Mdude, kaandika yeye kama yeye au kwa maelekezo ya chama?!.. kila mtu akiamua kuwaandikia hao WB. watasoma barua ngapi?!
Kamlilie aliyekutatua marindaKaolewe naye
Mwananchi anapambana kwa namna ainayo innafaa. Umejaribu kuringanisha Kiingereza hicho na cha wale Mawakili wa serikali kwenye ile kesi ilikuwa ni ya ndege sijui ya nini? Yule mbele ya jopo akawa anajichonoa meno kwa vidole vyake?
Si ndiyo mikusanyiko wa maneno ya kingereza huo?!Ni proofreading tu ya kawaida ndio hamna ila it's fair English.
Andika cha kwako tukione. Wajuvi wa kiingereza wanasema kiko vizuri sana isipokuwa hakusoma mara pili hapo kwenye kichwa cha habari. Wewe wa Kwa Mtogole inasemaje?Mkuu hakuna Kiingerza hapo ila kuna mkusanyiko wa maneno ya kiingereza
Kinaeleweka mbona! Hicho ndicho level yetu Watanzania. Infacts, yuko vizuri, hawezi kukosa msaada akienda Ulaya!Si ndiyo mikusanyiko wa maneno ya kingereza huo?!
Hebu weka clip ya yule Prof. akiongezea Kiingereza!