Salaam wadau,

Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.

Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?

Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!

Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?

Modern men need to change bwanaaa!
kuna elements za ukweli sana tu kwenye post bu are you married?? or do you understand ile concept nzima ya ndoa na role za kila mmoja wao ndani ya ndoa??
by sking, i dont mean to oppose what you say, but i want us to discuss the subject while knowing nani ni nani na yupo kundi gani
Somewhere someone somehow is being paid to be a gender-crusader!
Salaam wadau,
Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.
Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?
Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!
Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?
Modern men need to change bwanaaa!
Mkuu am married over the past 4 years.
Mi mwenyewe kabla ya kuoa dreams zangu zilikuwa hivyo kwamba wife anitumikie kwa kila kitu. Baada ya kuingia ndani ya ndoa nikaona hakuna dili yoyote, na kiukweli kuna baadhi ya kazi huwa namsaidia wife na hazijawahi kuniondolea/na hazitaniondolea uanaume wangu, na badala yake inaniongezea upendo kwa wife.
Kwangu mimi, kutaka kila kitu eti ufanyiwe na wife, ni fikra mgando.
Ashakum si matus: Kuna baadhi ya men hata nguo zao za ndani wanawaachia wake zao wafue....shame!

that's a system of lyf uv choosen to live,siku ukiambiwa safisha meza,mbele ya wageni wa heshima...ndo akili yako itafunguka vzr kuhusiana na hao viumbe wenye jinsia KE au FE

that's a system of lyf uv choosen to live,siku ukiambiwa safisha meza,mbele ya wageni wa heshima...ndo akili yako itafunguka vzr kuhusiana na hao viumbe wenye jinsia KE au FE
Salaam wadau,
Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.
Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?
Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!
Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?
Modern men need to change bwanaaa!
mimi hadi nitamuogesha
mimi ni my wife wako?Waambie mama jinsi unavyonitunza My Wife.
congrats and i am proud of youMkuu am married over the past 4 years.
Mi mwenyewe kabla ya kuoa dreams zangu zilikuwa hivyo kwamba wife anitumikie kwa kila kitu. Baada ya kuingia ndani ya ndoa nikaona hakuna dili yoyote, na kiukweli kuna baadhi ya kazi huwa namsaidia wife na hazijawahi kuniondolea/na hazitaniondolea uanaume wangu, na badala yake inaniongezea upendo kwa wife.
Siamini kama a modern man anaweza akataka kila kitu afanyiwe na mkewe as far as home care is concerned, nasema haya kwasbabu wanaume wengi tumesoma vyuo au sekondari ambapo tulijitegemea na tuliweza kusaidiana na girl friends zetu, my only concern ni hiyo ya kufuliwa nguo za ndani, i dont mind her doing it as long as hakushurutishwa na mtu...Kwangu mimi, kutaka kila kitu eti ufanyiwe na wife, ni fikra mgando.