....Huyo ni mkeo, sio mtumwa wako...

....Huyo ni mkeo, sio mtumwa wako...

Uko sahihi, lakini kuna wanawake ambao hawataki waume zao wafanye hizo kazi kwa kuwa malezi yamewafundisha kuwa kazi za nyumbani ni zao....
Hapo napo mume atalaumiwa?

Nakubaliana na wewe.
Lakini wapo baadhi yetu tukiombwa na wake zetu tuwasaidie tunakataa, hata pale mke anaposema labda hajisikii vizuri.

Salaam wadau,
Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.

Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?
Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!

Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?
Modern men need to change bwanaaa!

Na huo umodern wenu ndio unaowaponza,..mimi mmsai na kamwe siwezi kummodernize mambo kwa kucompromize na vile ninavyoamini,...soma vizuri na uelewe vitabu vyako vya kiroho,...ujue vinasemaje kuhusu hayo mambo uliyo yasema...kama ni mawe nipigeni mpaka nife

Salaam wadau,
Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.

Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?
Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!

Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?
Modern men need to change bwanaaa!
wewe mkeshaji ndio wale wale wanaume wenye matatizo kama unampenda mkeo na unaona majukumu yamemzidi mtafutie msaidizi yaani housegirl zaidi ya hapo naona unataka wanaume tuanze kupika na kuosha vyombo hivyo sio kazi yetu sisi kazi ya baba ni kuiwezesha familia kimawazo, kipato nakadhalika

Pitia comment zote mkuu kabla huja-comment

Mkuu am married over the past 4 years.
Mi mwenyewe kabla ya kuoa dreams zangu zilikuwa hivyo kwamba wife anitumikie kwa kila kitu. Baada ya kuingia ndani ya ndoa nikaona hakuna dili yoyote, na kiukweli kuna baadhi ya kazi huwa namsaidia wife na hazijawahi kuniondolea/na hazitaniondolea uanaume wangu, na badala yake inaniongezea upendo kwa wife.

Kwangu mimi, kutaka kila kitu eti ufanyiwe na wife, ni fikra mgando.
Ashakum si matus: Kuna baadhi ya men hata nguo zao za ndani wanawaachia wake zao wafue....shame!

kaka, naomba niwe tofauti na wewe kidogo
Maisha ya ndoa hayana formula, na yanatofautiana toka kwa mtu hadi kwa mwingine. kwa hiyo usikurupuke kaka.
Mfano kuna baadhi ya jamii mwanamke asipopigwa anaona hapendwi wala hathaminiwi.
Kuna jamii zingine mwanaume asipopigiwa magoti na mwanamke anaona hathaminiwi
na kuna wanawake wengine chakula anachokula mumewe lazima yeye akiandae, hata nguo na maji ya kuoga pia.
kufua nguo za ndani hayo ni mapenzi yao wenyewe kwahiyo uwe na uhakika na unayoyasema.

in short maisha ya ndoa hayana formula... na wala usitake kusema kwakuwa wewe unafua chupi zako na mimi nafuliwa na mke wangu so mimi ninakosea. Haya ndio mapenzi yetu

[h=4]Hahaha,issue nzima inaanzia kwenye kutoa mahali vile,ni kama una mnunua mtu ati sioni maana yake[/h]

It has taken too long that it has deteriorated some members of the community

user-offline.png
sally rose

Today 06:46 PM
#89
Banned
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Mkuu am married over the past 4 years.
Mi mwenyewe kabla ya kuoa dreams zangu zilikuwa hivyo kwamba wife anitumikie kwa kila kitu. Baada ya kuingia ndani ya ndoa nikaona hakuna dili yoyote, na kiukweli kuna baadhi ya kazi huwa namsaidia wife na hazijawahi kuniondolea/na hazitaniondolea uanaume wangu, na badala yake inaniongezea upendo kwa wife.

Kwangu mimi, kutaka kila kitu eti ufanyiwe na wife, ni fikra mgando.
Ashakum si matus: Kuna baadhi ya men hata nguo zao za ndani wanawaachia wake zao wafue....shame!

Mkuu hawa wake zetu ambao pia wamekwenda shule sana pamoja na sisi ila huwa wanajisikia kutufanyia hivyo na ndio satisfaction yake aone at least ameonyesha kumpenda mumewe na pia wanatumia hii kama kikolezo cha ndoa. Si kwamba wanafanya haya day in day out bali mara kwa mara kwani nao wanafanya kazi na wanachoka.
Wivu wa hawa wake zetu pia unachangia kwani wengi wanajiskia uchungu pale msichana wa kazi anaposhika suruali ya mume wake au shati kuosha kwani wanahisi ni uhusiano wa moja kwa moja unajengeka na badala yake hupenda kufua wenyewe. Men pia tunawasaidia kwa sana kama kuwapeleka sokoni, kusimamia project zote kubwa za familia, kuhakikisha ipo bajeti ya kutosha kwa mwezi , kuhakikisha ada za watoto ninalipa ikiwa ni pamoja na kumfanya wife awe smart kwa kila hali.

Mkifata dini hususan Uislaam, mwanamke ni wa kulishwa na kuvishwa na akae ajipambe kwa Mumewe tu. Nakubaliana na mleta mada, wengi hufanya wake zao ni watumwa nadhani hawa hawana "taaluma" (kwenda shule pekee si kuelimika).
Damn,kifungo kimeisha?No way,watakua wamekuhurumia wewe!Naandamana

Mabadiliko yapi unaongelea??

Mbona bailojia hazijabadilika??

Bilogia yako ndio inasema labia major kazi yake ni kufua nguo! Au mikono ya mwanaume haiwezi shika mopper/dekio?

Mimi nilianza kumsadia wife kupika mara moja moja nikipata muda,

Mara nikaanza kupangiwa zamu.

Nikakomaaa, nikajiondoa kwenye hiyo loop.

Biblia inasemaje?
Mungu alimwambia Adam kuwa atamletea MSAIDIZI; so according to Mwanzo; mwanamke ni msaidizi hivyo hizo chores zote ni zako mwanaume mimi nakusaidia tu! Ila msaada aka favor mmechukulia wajibu wetu!

Guys wajibu wetu ni kuzaa kwa uchungu tu; sijui niolewe na mwarabu wa Persia, ili kazi yangu iwe kifyatua vigaidi?

Mkuu hawa wake zetu ambao pia wamekwenda shule sana pamoja na sisi ila huwa wanajisikia kutufanyia hivyo na ndio satisfaction yake aone at least ameonyesha kumpenda mumewe na pia wanatumia hii kama kikolezo cha ndoa. Si kwamba wanafanya haya day in day out bali mara kwa mara kwani nao wanafanya kazi na wanachoka.
Wivu wa hawa wake zetu pia unachangia kwani wengi wanajiskia uchungu pale msichana wa kazi anaposhika suruali ya mume wake au shati kuosha kwani wanahisi ni uhusiano wa moja kwa moja unajengeka na badala yake hupenda kufua wenyewe. Men pia tunawasaidia kwa sana kama kuwapeleka sokoni, kusimamia project zote kubwa za familia, kuhakikisha ipo bajeti ya kutosha kwa mwezi , kuhakikisha ada za watoto ninalipa ikiwa ni pamoja na kumfanya wife awe smart kwa kila hali.

Hivi ukimwambia mkeo naomba nikusaidie kazi fulani au ukaamua kuifanya bila hata kumwambia, anaweza akakuzuia kweli...!?

Bilogia yako ndio inasema labia major kazi yake ni kufua nguo! Au mikono ya mwanaume haiwezi shika mopper/dekio?

Mimi niliongelea biology wakati wewe unaongelea anatomy...Unajua tofauti yake???

mtoa maada hata kama unasema ulishaoa nina mashaka sana na akili yako may be umetoka kwenye malaria au pengine hujafikiria kwa marefu zaidi ndio ukatoa maada.

Mi sijakuelewa, unamaanisha mkeo ni mtanzania au kakulia wapi? anyway kwa hiyo we ni mjanja kuliko wanaume uliowaona wakifanyiwa hivyo? na je? ulishawahi kuongea na hao wanawake wakakuambia nini? kama bado kawaulize na kisha toa hiyo point unayoisema alafu njoo utpe jibu.

Na ishu ya kuacha matumizi ya nyumbani mbona hujaiongelea??
Kila mtu ana roles zake kwenye familia mkuu!

Duuh, mkuu..so is this how you price matumizi unayoacha nyumbani? Aah bwana, msaidie bi mkubwa, hutapungukiwa kitu and you'll still remain mwanaume tu jamani...

mbona siku hizi tunasaidiana katika kutoa matumizi, kusomesha watoto, kujenga na mengineyo? Mbona basi tusisaidiane katika majukumu mengine ya nyumbani? Mie naona ni kuendekeza mfumo dume na kutotaka kukubali mabadiliko. Utakuta asubuhi mnadamka nyote kwenda kaznini, lakini mwanaume anataka aandaliwe chai, apigiwe pasi nguo zake awekewe maji ya kuoga, abrushiwe viatu, na briefcase yake aletewe.

Mh....!

Halafu yeye huyo huyo wa kwanza kupiga honi kwa hasira kuwa unafanya mambo taratibu kwa hiyo unamchelewesha! Yaani matokeo yake mama mwenye nyumba ndio unaishia kuvalia viatu kwenye gari! Kweli maisha hayana formula khaa!

Mkuu hapo tunarudi pale pale kuna tatizo kwenye ndoa yako
pale mkeo anaposhindwa kujua kuwa hapa ni favour na sio right na ppale anapogeuza favour kuwa right

Jamani, what is favour and what is right? Mwanaume kujipakulia chakula ambacho kiko mezani tayari, are you doing your wife a favour?

Back
Top Bottom