<brSio utumwa kaka ni mgawanyo wa kazi tu.

Kama unaona anateseka, Mtafutie House Girl amsaidie.

Lakini kwa mimi hainiingii akilini, kuanza kusaidia kuosha vyombo baada ya kurudi kazini.

Mbona humsaidii kubeba Mimba?

Salaam wadau,

Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.

Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?

Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!

Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?

Modern men need to change bwanaaa!

Tangu lini Mme anapakuliwa?Mkeshaji tutake radhi bwana.

Jamani, what is favour and what is right? Mwanaume kujipakulia chakula ambacho kiko mezani tayari, are you doing your wife a favour?
Tangu lini Mme anapakuliwa?Mkeshaji tutake radhi bwana.

kitchen paty inakuhusu!! seems hukupata!Salaam wadau,Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?Modern men need to change bwanaaa!
mtoa maada hata kama unasema ulishaoa nina mashaka sana na akili yako may be umetoka kwenye malaria au pengine hujafikiria kwa marefu zaidi ndio ukatoa maada.
kitchen paty inakuhusu!! seems hukupata!