Huyu actor wa Korea ndio muigizaji ambaye wanaamini ana mvuto kila sehemu kuliko hata Lee Miho

Huyu actor wa Korea ndio muigizaji ambaye wanaamini ana mvuto kila sehemu kuliko hata Lee Miho

Hivi mnawezaje Kufatilia Sinema za Kikorea
Zipo nzuri kama jumong, slave hunter (chuno), mimi movies zao nazozipenda ni zile zenye plot za kizamani. Hizi za plot za kisasa uwa naona zimekaa kike kike + utoto mwingi.

By the way mimi series zangu ni design ya game of thrones. Sijawahi kuona series kama game of thrones bwana.
 
Mwaka juzi nilikua home,walikua wanaangalia Series ya kikorea Hotel king,,nilikua nimeboreka nikaangalia episodes zote...ujinga tu...
Ile niliona baadhi ya epsodes 2014 kupitia kwa mdogo wangu.
Ujinga ujinga mwingi.
 
Niliangalia pia Wang's family,,startimes walionesha Ile kidogo afadhali 6/10
Yes wang's family hata mimi niliipenda ilikuwa ina furahisha.

Lakini sijui city hunter, hotel king, sijui coffee prince. Utoto mwingi
 
Anaitwa Jo won amezaliwa mwaka 1987 amecheza series Kama Yong pal, bridal mask, my sasy girl na nyingine nyingi.wakorea huwaambii kitu kuhusu huyu jamaa. Wakorea wenyewe wanaamini ndo actor mwenye mvuto zaidi katika kila idara wabongo nyie mnaamini Lee Miho ndio actor mwenye mvuto lakini Korea na baadhi ya nchi za kiasia kama Japan, Thailand na Taiwan jamaa wanamkubali hatari.

Lee Miho mwenyewe amewahi kutengeneza Kiki kwamba amewahi kudate na mpenzi wa jamaa ili apate Kiki lakini jamaa aliamua kumpuuza. Wanawake ambao amewahi cheza nao movies au series wanasema wanavyoigiza na jamaa hujikuta wanamtamani kweli kweli, hii yote ni jinsi jamaa anavyovutia.

Madirectors pia na wenyewe wamediriki kusema huwa wana uhakika wa movies au series zao kuingia mapato zaidi kama jamaa akiwa ndani hii ni yote kwa sababu jamaa ameliteka soko la movies naam mwamba kutoka Korea

View attachment 1766852

Jamaa mwenyewe yuko wapi?

Na huyo Dada hapo pichani ndio miongoni mwa wanaompenda huyo jamaa uliyemtaja?
 
Yes wang's family hata mimi niliipenda ilikuwa ina furahisha.

Lakini sijui city hunter, hotel king, sijui coffee prince. Utoto mwingi
Sasa naangalia mbili za wamarekani weusi The Chi na Wu Tang...hizi ndio mambo zangu
 
Zipo nzuri kama jumong, slave hunter (chuno), mimi movies zao nazozipenda ni zile zenye plot za kizamani. Hizi za plot za kisasa uwa naona zimekaa kike kike + utoto mwingi.

By the way mimi series zangu ni design ya game of thrones. Sijawahi kuona series kama game of thrones bwana.

Umeipitia Vikking, Troy must Fall, Mkuu?, hii midude sio ya kitoto kabisa.
 
Umeipitia Vikking, Troy must Fall, Mkuu?, hii midude sio ya kitoto kabisa.
Viking niliitazama 2014 mpaka 17 nadhani, troy must fall ndo archilles ni black halafu gay? Kama ni hiyo nilitazama season moja haikunivutia kama movie ya Troy.
Nadhan pia archilles kwenye series kuwa gay kulichangia kutonivutia
 
Ngoja waje wadada tuone wanasemaje. Maana kila mdada ana mvuto wake kwa mwanaume.

Mi niliwahi ambiwa baby napenda kitambi chako. So it's complicated kiasi chake.

Mkuu wewe itakuwa uko vizuri kifedha, Hawa viumbe ukiwa na pesa wanatafutaga kiungo cha kukupendea. Mie niliwahi ambiwa napenda Kucha zako..! Mwingine akanambia amependa Rangi yangu duuh .! Ila baadae nilipoanza kubana pesa akaanza kusema haya hizo sida nilikuwa nakudanganya tu. Sijui imeenda imerudi [emoji38][emoji38]
 
Mkuu hebu picha ya huyo mwingine
Lee Min Ho,
Adam's Apple yake mie hoiiii [emoji7][emoji3059][emoji4]
images%20(8).jpg
 
Muvi za kikorea znaigizwa na watoto wa sekondar,kuna uongo uongo wa ktoto sana,series nzima hakuna hata mzee vyote ni viteenager.

Series za kihindi nako utoto mwingi ingawaje huku wanaigiza watu wazima.
 
Kuna actor yule ameigiza kwenye empress ki jina simjui ila ni anavutia haswaa
Mle aliigiza kama togon
 
Nakuhakikishia ukianza kuangalia zile series zao hutaacha!icheki moja inaitwa world of the married iko netflix
Hapana mi Nina mlengo mwingine mkuu , siangaliagi tamthiliya za mahusiano ya kimapenzi boss , mi napenda za kivita hasa real documentary za WW 1&2 survivor na watu wakaamua kuigiza, Zaid ya hapo labda action movies
 
Viking niliitazama 2014 mpaka 17 nadhani, troy must fall ndo archilles ni black halafu gay? Kama ni hiyo nilitazama season moja haikunivutia kama movie ya Troy.
Nadhan pia archilles kwenye series kuwa gay kulichangia kutonivutia

Kitu kilichonipa maswali kwenye Troy must Fall kwann Archilles ambaye ni miongoni mwa miungu ya kigiriki kuwa Black alafu gay.

Vikking nairudia kila nikipata muda nadhani bado inaendelea
 
Hapana mi Nina mlengo mwingine mkuu , siangaliagi tamthiliya za mahusiano ya kimapenzi boss , mi napenda za kivita hasa real documentary za WW 1&2 survivor na watu wakaamua kuigiza, Zaid ya hapo labda action movies
Haya mkuu nimekupata ila usipende sana kuwa serious adi ukiwa home,saa ingine angalia vitu vya kukufanya utabasamu tu ili uongeze siku za kuishi
 
Kitu kilichonipa maswali kwenye Troy must Fall kwann Archilles ambaye ni miongoni mwa miungu ya kigiriki kuwa Black alafu gay.

Vikking nairudia kila nikipata muda nadhani bado inaendelea
Wanasema kwenye poem ya The Iliad, Archillies alikuwa gay. Hata director wa movie wa Troy waliwahi kumuuliza hilo swali kwanini hawakumpotray Archilles kama gay kwenye movie.

Akasema wakati movie inatengenezwa kipindi hicho haya mambo yalikuwa jamii haijayakubali kihivyo, ndiyo maana wakatwist story kwamba Archilles na yule dogo walikuwa mtu na binamu yake.

Anasema isingekuwa hivyo basi hata kwenye ile movie brad pit na yule dogo wangeonekana ni mtu na mpenzi wake.
 
Haya mkuu nimekupata ila usipende sana kuwa serious adi ukiwa home,saa ingine angalia vitu vya kukufanya utabasamu tu ili uongeze siku za kuishi
😂😂😂😂 Sawa chief, ubachala kazi Sana yaan
 
Back
Top Bottom