Zipo nzuri kama jumong, slave hunter (chuno), mimi movies zao nazozipenda ni zile zenye plot za kizamani. Hizi za plot za kisasa uwa naona zimekaa kike kike + utoto mwingi.Hivi mnawezaje Kufatilia Sinema za Kikorea
Ile niliona baadhi ya epsodes 2014 kupitia kwa mdogo wangu.Mwaka juzi nilikua home,walikua wanaangalia Series ya kikorea Hotel king,,nilikua nimeboreka nikaangalia episodes zote...ujinga tu...
Niliangalia pia Wang's family,,startimes walionesha Ile kidogo afadhali 6/10Ile niliona baadhi ya epsodes 2014 kupitia kwa mdogo wangu.
Ujinga ujinga mwingi.
Yes wang's family hata mimi niliipenda ilikuwa ina furahisha.Niliangalia pia Wang's family,,startimes walionesha Ile kidogo afadhali 6/10
Anaitwa Jo won amezaliwa mwaka 1987 amecheza series Kama Yong pal, bridal mask, my sasy girl na nyingine nyingi.wakorea huwaambii kitu kuhusu huyu jamaa. Wakorea wenyewe wanaamini ndo actor mwenye mvuto zaidi katika kila idara wabongo nyie mnaamini Lee Miho ndio actor mwenye mvuto lakini Korea na baadhi ya nchi za kiasia kama Japan, Thailand na Taiwan jamaa wanamkubali hatari.
Lee Miho mwenyewe amewahi kutengeneza Kiki kwamba amewahi kudate na mpenzi wa jamaa ili apate Kiki lakini jamaa aliamua kumpuuza. Wanawake ambao amewahi cheza nao movies au series wanasema wanavyoigiza na jamaa hujikuta wanamtamani kweli kweli, hii yote ni jinsi jamaa anavyovutia.
Madirectors pia na wenyewe wamediriki kusema huwa wana uhakika wa movies au series zao kuingia mapato zaidi kama jamaa akiwa ndani hii ni yote kwa sababu jamaa ameliteka soko la movies naam mwamba kutoka Korea
View attachment 1766852
Sasa naangalia mbili za wamarekani weusi The Chi na Wu Tang...hizi ndio mambo zanguYes wang's family hata mimi niliipenda ilikuwa ina furahisha.
Lakini sijui city hunter, hotel king, sijui coffee prince. Utoto mwingi
Mimi nasubiria power II chapter season 2 na China ManSasa naangalia mbili za wamarekani weusi The Chi na Wu Tang...hizi ndio mambo zangu
Zipo nzuri kama jumong, slave hunter (chuno), mimi movies zao nazozipenda ni zile zenye plot za kizamani. Hizi za plot za kisasa uwa naona zimekaa kike kike + utoto mwingi.
By the way mimi series zangu ni design ya game of thrones. Sijawahi kuona series kama game of thrones bwana.
Viking niliitazama 2014 mpaka 17 nadhani, troy must fall ndo archilles ni black halafu gay? Kama ni hiyo nilitazama season moja haikunivutia kama movie ya Troy.Umeipitia Vikking, Troy must Fall, Mkuu?, hii midude sio ya kitoto kabisa.
Hii kazi ishanishindaHivi mnawezaje Kufatilia Sinema za Kikorea
Ngoja waje wadada tuone wanasemaje. Maana kila mdada ana mvuto wake kwa mwanaume.
Mi niliwahi ambiwa baby napenda kitambi chako. So it's complicated kiasi chake.
Lee Min Ho,Mkuu hebu picha ya huyo mwingine
Nakuhakikishia ukianza kuangalia zile series zao hutaacha!icheki moja inaitwa world of the married iko netflixKiukwel na Mimi nashindwa kuelewa anyway tunatofautiana
Hapana mi Nina mlengo mwingine mkuu , siangaliagi tamthiliya za mahusiano ya kimapenzi boss , mi napenda za kivita hasa real documentary za WW 1&2 survivor na watu wakaamua kuigiza, Zaid ya hapo labda action moviesNakuhakikishia ukianza kuangalia zile series zao hutaacha!icheki moja inaitwa world of the married iko netflix
Viking niliitazama 2014 mpaka 17 nadhani, troy must fall ndo archilles ni black halafu gay? Kama ni hiyo nilitazama season moja haikunivutia kama movie ya Troy.
Nadhan pia archilles kwenye series kuwa gay kulichangia kutonivutia
Haya mkuu nimekupata ila usipende sana kuwa serious adi ukiwa home,saa ingine angalia vitu vya kukufanya utabasamu tu ili uongeze siku za kuishiHapana mi Nina mlengo mwingine mkuu , siangaliagi tamthiliya za mahusiano ya kimapenzi boss , mi napenda za kivita hasa real documentary za WW 1&2 survivor na watu wakaamua kuigiza, Zaid ya hapo labda action movies
Wanasema kwenye poem ya The Iliad, Archillies alikuwa gay. Hata director wa movie wa Troy waliwahi kumuuliza hilo swali kwanini hawakumpotray Archilles kama gay kwenye movie.Kitu kilichonipa maswali kwenye Troy must Fall kwann Archilles ambaye ni miongoni mwa miungu ya kigiriki kuwa Black alafu gay.
Vikking nairudia kila nikipata muda nadhani bado inaendelea
ππππ Sawa chief, ubachala kazi Sana yaanHaya mkuu nimekupata ila usipende sana kuwa serious adi ukiwa home,saa ingine angalia vitu vya kukufanya utabasamu tu ili uongeze siku za kuishi