NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Huyu African American sasa hivi tunavyozungumza yuko Tanzania. Amekuja kutembea wiki moja kisha arudi Nairobi anapoishi. Ameulizwa tofauti kati ya Wakenya na Watanzania ni ipi akasema Watanzania ni wavivu, wanafanya vitu pole pole na hawana haraka. Kwa wale ambao hawana bundle ni kati ya dakika 36 na 37.
Angesema Dar is better hata kindergarten kids hapo Bongo wangekuwa wanaimba huo wimbo. 🤣