Huyu African American anasema ameishi Accra na Nairobi na kwamba Nairobi iko more developed

Angesema Dar is better hata kindergarten kids hapo Bongo wangekuwa wanaimba huo wimbo. 🤣
 
Hayo ni maneno tu in reality ni kinyume chake hapa afrika dar ni bora mara 10 ya accra kiuchumi na life quality

Dar inazidi tu kwa ukubwa wa ekari, ila likija matumizi ya ubongo, kiuchumi, kielimu n.k. hamna lolote.
 
Angesema Dar is better hata kindergarten kids hapo Bongo wangekuwa wanaimba huo wimbo. [emoji1787]
Alisema Dar ni Watu Lazy tu wamejaa. Alishangazwa na Uzembe iko huko Dar.
Anaambia wale African American walidanganywa kuenda huko Watembee Jiji Kuu Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo Kibera iko Dar?
Maana inapendwa sana na wakazi wa Nairobi.
Hivi Kibera ilivyochoka unaweza ukailinganisha na eneo gani kwa Dar?
 
Dar inazidi tu kwa ukubwa wa ekari, ila likija matumizi ya ubongo, kiuchumi, kielimu n.k. hamna lolote.
Hizo nchi zenu ambazo watu wake hata wakienda chooni hawaoni umuhimu wa kujisafisha kwa maji ndiyo unasema wana akili [emoji1787][emoji1787]
 
Alisema Dar ni Watu Lazy tu wamejaa. Alishangazwa na Uzembe iko huko Dar.
Anaambia wale African American walidanganywa kuenda huko Watembee Jiji Kuu Nairobi[emoji23][emoji23][emoji23]

Huwa tunawaambia hawa walivyo wazembe wanadhani tunawaonea.....
 
Nairobi a.k.a Nairobbery (for extremely high crimes rates).
Nairobi hakuna magenge ya vijana(Panya Road), ambao wanatembea na mapanga na silaha mjini. Wakijeruhi watu na kuiba mali bila uoga kabisa, eti hadi unasikia biashara zote zimefungwa mtaa fulani.
 
Kuna siku nikiwa Dar ghafla nikaona taharuki watu wanakimbia, yaani unaona mbaba mzima anakatiza mbio akihema, nilipotaka kutoka nduki nikaskia wanasema eti wanakimbia panya rodi, niliishia kucheka...
 
Hawa majirani bana waogaaa, ukiona wanavotupia matusi humu, kwa ubabe mwingi, huwezi ukadhani kwamba wanaweza wakateswa na vijana wadogo wadogo umri miaka 15, 16 hivi. Panya rodi ndio habari ya mjini sasa hivi jombaa, jamaa wanalala jicho moja wazi utadhani ni ISIS ndio wametua mtaani.
 
Nairobi hakuna magenge ya vijana(Panya Road), ambao wanatembea na mapanga na silaha mjini. Wakijeruhi watu na kuiba mali bila uoga kabisa, eti hadi unasikia biashara zote zimefungwa mtaa fulani.

Na Al shabaaab vipi??!🤣
 
Nyinyi vilaza ni mawazo ngapi kama hayo mmeshabikia humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…