Huyu akiondoka hata hiyo Big 4 mutaisikia Redioni tu!

Ni muhimu asepe awaokoe mashabiki wa aseno na magonjwa ya moyo, pili angalau ushindani wa aseno kwa man urudi manaake saizi tunajipigia tu

Sent from my HUAWEI Y600-U40 using JamiiForums mobile app
 
Hapana man timu nyingi zinabadilika zikipata mameneja wapya, hasa wenye hamasa kwa wachezaji mfaano, gadiola, clop, diego, gatuso mi naamini io tim akipewa tiery henry atafanya wonders kama zidane alivopewa madrid
 
Mh! We unataka wachungulie kushuka Daraja?
 
Kwani msimu jana walimaliza nafasi ya ngapi, na msimu huu mpaka sasa wapo nafasi ya ngapi?
 
Haijalishi sana lakini angalau walikuwa wanaingiaingia
 
Kuingiaingia ndio nini hicho mkuu? Arsenal imeshachoka hii na siku zinavyozidi kwenda ndio wanazidi kupotea kabisa
 
Hapana man timu nyingi zinabadilika zikipata mameneja wapya, hasa wenye hamasa kwa wachezaji mfaano, gadiola, clop, diego, gatuso mi naamini io tim akipewa tiery henry atafanya wonders kama zidane alivopewa madrid
Naunga mkono hoja
 
Kwa vyovyote vile hawezi kufundisha milele, wakati wa kuondoka ukifika aondoke tu kama inavokuwa kwa coaches wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…