peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama mmeshindwa kumasaidia kwa Medicine ya Kisasa mleteni kwenu Bush Doktas tumsaidie. Huyo mtu wenu anaumwa. Hayuko sawa.Embu tumsikilize!!
Tumemlaani na Mungu atampiga soon. Dalili zimeanzaHaya
Uchungaji unadharirika sana 😂😄
No confidence Kabisa yaani
Akili kubwa aitumie vizuri Sasa maana kule akili kubwa zilikuwa nyingi....kwa kweli tuwe tunaweka akiba ya maneno!!!Muda si mrefu ataanza kuokota makopo maana mwili umegoma kabisa kushirikiana na akili!
Ali pewa hela wakati ana gombea uenyekiti wa kanda ili aivuruge Chadema kwenye kand hiyo pale ambapo ange shinda. Chadema waka shtukia issue waka mpiga chini sasa Ccm wakawa wana dai pesa zao. Hapo ndio Yuda akaEmbu tumsikilize!!
Leta mahojiano yote!!Embu tumsikilize!!
Huyu itakuwa CCM wana connection yake tu, lazima. Hiyo connection ndiyo wameitumia kum blackmail, hawajampa hata senti masikini😅Embu tumsikilize!!
Na wewe umalaya wako ni wa nini vile?CHADEMA imejaza malaya wengi sana wa kisiasa. Msigwa na Lema walikuwa TLP kabla ya kuhamia CHADEMA.
Masikini wee, huwezi kuamini ndiyo Msigwa yule akisimama bungeni kuongea bunge linakuwa kimya kumsikiliza ghafla kawa zombie !!! CCM wabaya sana sijui wamenywesha mikojo gani hiyo.Embu tumsikilize!!
Ndio kanuni ukiwa mwanaccm lazima ucope kwenye level zao za kiwango cha chini.Masikini wee, huwezi kuamini ndiyo Msigwa yule akisimama bungeni kuongea bunge linakuwa kimya kumsikiliza ghafla kawa zombie !!! CCM wabaya sana sijui wamenywesha mikojo gani hiyo.
Iweke nzima.Embu tumsikilize!!
Yaani mpaka huruma. Yaani leo Msigwa anashindwa kuelewa kaswali kadogo kama hako. Na tangu lini Msigwa ana KIGUGUMIZI....!? Ni muda sasa tuanze kutafuta sababu hasa iliyomfanya huyu jamaa ahame ..... there is something boyond what we see and what we know ...!!Embu tumsikilize!!