Huyu alilazimishwa kuhamia CCM utokea Chadema ukimsikiliza vizuri.

Msigwa kwa sasa amekuwa Ndondocha la Makala, Makala anamuandikia na kumpangia kitu cha kusema, hii Humiliation haijawahi kuonekana kwenye Ulingo wa Siasa za Tanzania tokea tupate Uhuru.
 
Sababu za Msigwa kuhama CHADEMA ni za kipuuzi sana ndio maana anakosa hoja za kujitetea pale anapokutana na muandishi makini ktk mahojiano.
Ni sawa na mwizi aliyekamatwa na ushahidi waziwazi, anakosa namna ya kujitetea nakubaki kujiuma uma tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…