CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
huyu jamaa alicheza dakika 30 tu simba ila huko kwao alishakuwa mvp na top scorer akaenda hadi esperanceKwani ndio huyu aliesajiliwa na MIKIA fc kwa mbwembwe akaishia kusugua benchi maskini ya MUNGU? π
πππ
Mada imeishia hapahuyu alikuja Simba akiwaa hana utimamu wa mwili kwa kutocheza muda mrefu na pia alikuwa hawezi kucheza ligi bali mashindano ya Afrika pekee
Simba tayari walikuwa washaua kipaji, mwenyewe kamshukuru Mungu.Ebanaaaeeee hi Ameira si ipo la liga jameni? hawa wa west africans hata kama ni magarasa ila wana mawakala very aggresive kwa kweli yaani msuva angekuwa ni mpopo leo angekuwa anacheza hata ubelgiji au uturuki
View attachment 1949812
Daaah kwa hiyo Simba pale tulipigwa?huyu jamaa alicheza dakika 30 tu simba ila huko kwao alishakuwa mvp na top scorer akaenda hadi esperance