Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.
Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.
"Haya ndiyo mambo ya Kagera, hiki ndiyo kichwa cha sangara. Kama mnadhani Kagera tumechelewa haya ndio mambo ya Bukoba, ya Muleba. Hapa ndipo tunapozungumzia uwekezaji wenye tija ni pamoja na kula samaki, viwanda vya samaki, uvuvi kupitia njia safi, ili kupata samaki wakubwa. Doh haki ya mungu, wacha kabisa!"