Huyu ana sifa za kuwa Mkuu wa Mkoa?

Huyu ana sifa za kuwa Mkuu wa Mkoa?

marketing nzuri sana, huwezi muelewa RC hapo. Ila wahusika wanamuelewa sana, yupo vizuri sana

Sure
Kuna watu wamekariri tu viongozi wa matamko na hotuba za makaratasi mengi, hawa wanaotumia poly-comics akiwemo mzee Mwanri nawakubali sana maana wanajua namna ya kuwaamsha wananchi.
 
Ni kawaida tu mkuu ,kuna watu wenye high position wanafanya mambo ya ajabu behind the scene,tena bora hata hao wanaojiachia kuliko hawa nje watakatifu.

Chalamila ni Comic kwahiyo usimchukulie serious...Comic mwingine ni Makongoro Nyerere.
 
Jamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.

Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.
View attachment 2367497

"Haya ndiyo mambo ya Kagera, hiki ndiyo kichwa cha sangara. Kama mnadhani Kagera tumechelewa haya ndio mambo ya Bukoba, ya Muleba. Hapa ndipo tunapozungumzia uwekezaji wenye tija ni pamoja na kula samaki, viwanda vya samaki, uvuvi kupitia njia safi, ili kupata samaki wakubwa. Doh haki ya mungu, wacha kabisa!"
Huyu jamaa ni comedian kabisa. Hv CCM kama wanampenda wanasgindwa kumpa kitengo sahihi? Wampeleke hata TOT akazibe nafasi ya Capt. Komba
 
Sure
Kuna watu wamekariri tu viongozi wa matamko na hotuba za makaratasi mengi, hawa wanaotumia poly-comics akiwemo mzee Mwanri nawakubali sana maana wanajua namna ya kuwaamsha wananchi.
mwamri ni mzuri sana pia, alafu angefaa sana hasa katika kutia moyo na kufurahisha watu kipindi hiki kigumu maisha yamebana
 
Kwani kula sangara kosa

Mlitaka apost anacheza amapiano

Ova
 
Jamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.

Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.
View attachment 2367497

"Haya ndiyo mambo ya Kagera, hiki ndiyo kichwa cha sangara. Kama mnadhani Kagera tumechelewa haya ndio mambo ya Bukoba, ya Muleba. Hapa ndipo tunapozungumzia uwekezaji wenye tija ni pamoja na kula samaki, viwanda vya samaki, uvuvi kupitia njia safi, ili kupata samaki wakubwa. Doh haki ya mungu, wacha kabisa!"
Hili jamaa zoba. Labda mama anataka kumtoakafra
 
Back
Top Bottom