😂😂😂😂😂😂😂Huyu mwambaJamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.
Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.View attachment 2367497
Acha ujinga wewe ndio madhara ya kukimbia shule hayo halafu unajifanya mwanaharakati ubongo mdogoJamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.
Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.
View attachment 2367497
"Haya ndiyo mambo ya Kagera, hiki ndiyo kichwa cha sangara. Kama mnadhani Kagera tumechelewa haya ndio mambo ya Bukoba, ya Muleba. Hapa ndipo tunapozungumzia uwekezaji wenye tija ni pamoja na kula samaki, viwanda vya samaki, uvuvi kupitia njia safi, ili kupata samaki wakubwa. Doh haki ya mungu, wacha kabisa!"
Li serekale la kipumba!Jamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.
Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.
View attachment 2367497
"Haya ndiyo mambo ya Kagera, hiki ndiyo kichwa cha sangara. Kama mnadhani Kagera tumechelewa haya ndio mambo ya Bukoba, ya Muleba. Hapa ndipo tunapozungumzia uwekezaji wenye tija ni pamoja na kula samaki, viwanda vya samaki, uvuvi kupitia njia safi, ili kupata samaki wakubwa. Doh haki ya mungu, wacha kabisa!"
Acha ujinga wewe ndio madhara ya kukimbia shule hayo halafu unajifanya mwanaharakati ubongo mdogo
Hapo alikuwa anafanya marketing ya bidhaa zinazopatikana mkoa wa Kagera na wala sio kuonjesha kuwa anakula. Lengo ni watu wajue kuwa samaki wenye ubora wanapatikana kagera na kuwavutia watu wa nje na ndani ama kutembelea mkoa huo au kwenda kufanya uwekezaji kwa masla mazima ya mkoa anaouendesha. Hivi kama wewe sio kilaza umeshindwa kuelewa tuu video ndogo kama hii wewe ukakariri kula tuu bila kuusoma ujumbe uliopo?
Yaani wewe nyanyado mpaka aumize watu? Itoshe kusema huyu jamaa ni mpuuzi kama wapuuzi wengine!Chuki dhid ya Chalamila huwa zinatokana na nini? Tangu anateuliwa na JPM mpaka Leo hii sijawah sikia Chalamila kaumiza mtu
Chuki dhid ya Chalamila huwa zinatokana na nini? Tangu anateuliwa na JPM mpaka Leo hii sijawah sikia Chalamila kaumiza mtu
Upuuzi wake NI nini? Hata kwenye ufisadi Chalamila sijawah sikia akitajwaYaani wewe nyanyado mpaka aumize watu? Itoshe kusema huyu jamaa ni mpuuzi kama wapuuzi wengine!
marketing nzuri sana, huwezi muelewa RC hapo. Ila wahusika wanamuelewa sana, yupo vizuri sana
sana aisee!Kabisa yule aliyesema samaki wanaoshewa maji ya maiti aliua biashara yote chalamila anafanya marketing nzuri kurudisha imani kwa walaji wa Samaki wa ziwa viktoria
Unaweza kukuta napoteza muda kufanya argument na mtu mwenye kadi ya clinic ya psychiatric hospitalNdio soko la samaki limekufa baada ya kauli ya mpango hivo RC anajitahidi sana kufanya marketing na kuwaamisha watu sangara na sato ni wazuri, na watu wakawekeze Bukoba na Muleba kua mambo mazuri, Chalamila ni genius basi tu watu hua hawamuelewi haraka