Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,004
- 3,695
marketing nzuri sana, huwezi muelewa RC hapo. Ila wahusika wanamuelewa sana, yupo vizuri sana
Huyu jamaa ni comedian kabisa. Hv CCM kama wanampenda wanasgindwa kumpa kitengo sahihi? Wampeleke hata TOT akazibe nafasi ya Capt. KombaJamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.
Mtazameni huyo Chalamila utayaamini maneno yangu.
View attachment 2367497
"Haya ndiyo mambo ya Kagera, hiki ndiyo kichwa cha sangara. Kama mnadhani Kagera tumechelewa haya ndio mambo ya Bukoba, ya Muleba. Hapa ndipo tunapozungumzia uwekezaji wenye tija ni pamoja na kula samaki, viwanda vya samaki, uvuvi kupitia njia safi, ili kupata samaki wakubwa. Doh haki ya mungu, wacha kabisa!"
mwamri ni mzuri sana pia, alafu angefaa sana hasa katika kutia moyo na kufurahisha watu kipindi hiki kigumu maisha yamebanaSure
Kuna watu wamekariri tu viongozi wa matamko na hotuba za makaratasi mengi, hawa wanaotumia poly-comics akiwemo mzee Mwanri nawakubali sana maana wanajua namna ya kuwaamsha wananchi.
Hili jamaa zoba. Labda mama anataka kumtoakafraJamani naamini ile semina elekezi za Engurudoto zilikuwa na umuhimu wake.