huyu anachukua nini?

huyu anachukua nini?

hashycool

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2010
Posts
6,555
Reaction score
2,837
rushwa.jpg
 
Du ukiipeleka kwa kova anapelekwa ffu akiyanani!!!
 
Wewe naona unataka yakutokee ya jerry muro, hao ni miungu huwa hatuwasemi tz bwana, wanaua na hiyo ndo kazi yao.
 
Ha ha ha ha,unakuta kapokea mia tano...........si mbaya!kama kuna wanaopokea za bilioni 100 na ushee ni huyu dogo hapo???:car:
 
Ha ha ha ha,unakuta kapokea mia tano...........si mbaya!kama kuna wanaopokea za bilioni 100 na ushee ni huyu dogo hapo???:car:

umemuona dogo anachungulia? lakini ndo utafanyaje na unataka kuwahi uendako
 
umemuona dogo anachungulia? lakini ndo utafanyaje na unataka kuwahi uendako

Huyo dogo utakuwa wewe,manake hupitwi??kwani huwezi ona wakubwa wanafanya jambo ukaangalia pembeni Hashy????kweli,saa nyingine abiria wanasema mpe tuishie bana!:Cry:
 
Kwa mara ya kwanza umetoa thread ya isiyo...........jinsia ka yangu.....................lol
 
Back
Top Bottom