Huyu anadaiwa Million 14 kama penalties ya kuchelewa ku file Audited financial statement

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Leo ngoja nikuibie Siri ya compounding effects kwenye Mambo ya Tax.

Leo ni tarehe 8 may 2025, hii Ina maanisha Bado siku 53 tuu tufike tarehe 30/6/25.
Hii ni siku muhimu sana kwa corporate baddies, Gents na Wafanyabiashara wote.
Kwanini?

Tarehe 30/6/25 ni tarehe ya mwisho ku file Audited financial statement.
Kama usipo file financial statement ya Kampuni au biashara yako mpaka kufikia tarehe hii maana yake utapigwa penalty on the following day.

Penalty ni Tsh. 300,000 kwa kila Kampuni ambayo itachelewa ku file Audited financial statement na Tsh 100,000 kwa personal business.
Now here is the hack.

Hizi penalties Zina compounding effects.
Yaan usipofile kwenye tarehe husika ikifika tarehe 1 July utapigwa penalty, ikifika tarehe 1 august penalty inaji double.

Kwahiyo kwa Kampuni unakuta hizi 300,000 zinaji compound kila mwezi na kwa biashara unakuta hii 100,000 inaji compound kila mwezi pia.

Baada ya mwaka unakuta unadaiwa Millions of money.

Sasa njia rahisi ya kukwepa haya madeni ni hii hapa.....

Hakikisha una file financial statement ndani ya muda.
Nakukumbusha tena, umebakiza siku 53 Tuu 🙌

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni, kama unachangamoto upande wa Kodi unaweza kuwasilisha na Mimi kupitia WhatsApp kwa namba hii
0678131068.

Your Favorite Lawyer.
 
Haya mambo Lucas Mwashambwa hayajui kabisa, yeye anaujua uchawa tu, kila thread yake mama... Mama.. mama.. anaita mama mara nyingi kuliko Abduli mwenye mama yake
 
Naomba kufahamu, personal business ndo sole proprietorship? If yes natakiwa ku file audited financial statements kivip na ni wafanyabiashara wote wa ngazi hiyo wanajua Hilo ?
Sole proprietors Hawa file Audited financial statement, wao Wana deal na TRA Otis Moja kwa moja.
Everything else remain constant
 
Ok sasa unaweza kuwa na above hiyo 100mio, kwa kila mwaka ukabaki kwenye sole ? Au Kuna Sheria itakulazimu kuchange ?
Hawa ni individual. Pitia hii boss, imetoka web ya TRA.

Individuals are categorized in two groups:

  1. Individual traders who are under presumptive tax regime
  2. Individual trader who are not under presumptive regime.

1) Individual traders who are under presumptive tax regime

Taxation of individual under presumptive regime is based on annual turnover. In this category individual are not required to file final return with audited books of accounts unless he/she elects to. This category consists of individuals who fulfills the following requirements:

  • the individual should be a resident for the year of income,
  • the individual's income for a year of income consists exclusively of income from a business having a source in the United Republic;
  • the turnover of the business does not exceed Tshs. 100 million: and
  • the individual does not elect to dis-apply the presumptive rules
Individual traders who are no under presumptive tax regime

This category consists of individuals who do not fulfil the requirements of presumptive tax regime. Under this category individual pay tax basing on their taxable income for the year. The traders under this are required to keep proper records including filing of provisional returns on or before 31st March. At the end of the year the individual under this category are required to file final return attaching the audited financial statements and submit it to TRA on or before 30 June of the following year to which the return relates.
 
Shukrani ntaomba niwe najifunza kupitia wewe mkuu, naona baadhi ya nyuzi unaelewa hizi issue za finance. Best regards
 
Back
Top Bottom