msaada tafadhali.shangazi
anahitaji msaada wenu.ni hivi:binamu yangu amehitimu 4m 6.amemwambia
shangazi yangu kuwa fomu ya mkopo ni 50000 na ya chuo ni
30000 na mwisho wa kulipia ni 30/6/2013.je ni kweli?.maana binamu
haaminiki halaf shangaz anapigika kinoma kwaajili yake!!!