huyu anadanganya au ni kweli?wanachuo msaada tafadhali....

huyu anadanganya au ni kweli?wanachuo msaada tafadhali....

Dr.viruz

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
183
Reaction score
155
msaada tafadhali.shangazi anahitaji msaada wenu.ni hivi:binamu yangu amehitimu 4m 6.amemwambia shangazi yangu kuwa fomu ya mkopo ni 50000 na ya chuo ni 30000 na mwisho wa kulipia ni 30/6/2013.je ni kweli?.maana binamu haaminiki halaf shangaz anapigika kinoma kwaajili yake!!!
 
hata ya mkopo ni 30 sio 50
msaada tafadhali.shangazi
anahitaji msaada wenu.ni hivi:binamu yangu amehitimu 4m 6.amemwambia
shangazi yangu kuwa fomu ya mkopo ni 50000 na ya chuo ni
30000 na mwisho wa kulipia ni 30/6/2013.je ni kweli?.maana binamu
haaminiki halaf shangaz anapigika kinoma kwaajili yake!!!
 
Back
Top Bottom